evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Unaongea uongo Lisu sio mganga njaa hata kidogo acha propaganda itakuwa humjui vizuri LisuWenye akili wako huru, hawahitaji kupiga kelele ili wapate ugali wa kila siku. Wanatengeneza pesa kutumia akili hawahitaji kupigana ili wapate kula. Umeshasikia tajiri anahangaika mara jela, mara kupiga kelele kwenye majukwaa? Lissu ni kama hao wengine wanaoganga njaa majukwaani hakuna cha akili wala nini ni njaa tuu zinawasumbua.
Kiukweli kama kuna pesa nzuri ya kupiga napiga vizuri tu ila sio hizi vielfu 30 vya kufundishwa forex.Umenena vyema ila hata ungeingia kwenye cheni ya kuwapiga ni sawa tu , vilaza haki yao ni kupigwa tu mkuu
Kaka 30 kwa watu 300 ni pesa ndefu bwashee , hata jero tu ukiwapiga kwa mkupuo kwa watu laki moja sio kitoto 🤔Kiukweli kama kuna pesa nzuri ya kupiga napiga vizuri tu ila sio hizi vielfu 30 vya kufundishwa forex.
Kwa exchange rate iliyopo elfu 30 hata sinunui drum stick 1 KFC.
Ila nimekuwa nawapa pole kwa kupoteza pesa zao mkuu. Walidhani wakiingia wanadownload mipesa tu.
Ontario aliliwa kichwa na Wasouth Africa. Hakuwa anakula yote.Kaka 30 kwa watu 300 ni pesa ndefu bwashee , hata jero tu ukiwapiga kwa mkupuo kwa watu laki moja sio kitoto 🤔
Uzi gani?Juzi alileta uzi mwingine uliokuwa wazi kabisa kwenye mrengo wakitapeli.
Pengine ndio Onta in another side
Mkuu wewe si moja ya matapeli hapa JF wa Forex ?Duuuh...
Lissu anatukuzwa saana. Mmemsifu kukimbia na ashapapita kwake.
Kama ungesema Kibatala ni mwanasheria mzuri yes huyu nakubaliana na wewe. Lissu Jana alisema nini most of the time Kalia Lia... msianze kutukana maana nawajua.
Kibatala aachiwe kesi...
You're entirely entitled to your opinions.Mkuu wewe si moja ya matapeli hapa JF wa Forex ?
Nyie mmeumiza watu na kuwafanya maskini hapa JF
Mkuu hiyo roho mbaya ya dhuluma kwa umri wako ni hatari sana ,Umeishi kwa dhuluma ya Forex ,Je unakoenda umebakiza miaka mingapi ?
Ninawashanga sana watu wanaosema huyo ontario aliwatapeli watu kupitia forex.Kaka kazi ya pesa ni kuliwa , ni nyie tu hamkuwaelewa jamaa, mbona wengine wana zidi kudowlodi ma pesa bwashee?
yupo kizuiziniKumbe ontario yupo jela???
Kabisa sir Jeff wala hana tatizo lolote , mda mwingine ni ukilaza wetu tu mkuu.Ninawasganga sana watu wanaosema huyo ontario aliwatapeli watu kupitia forex.
Mimi binafsi nilijua kwa mara ya kwanza kuhusu hayo mambo ya forex kupitia threads za huyo jamaa kipindi hicho nipo India.
Sasa nikamshirikisha jamaa yangu tuliyekuwa naye huko India tukaanza kuifatilia tukakuta kule India kipindi hicho ilikuwa haoruhusiwi tukaachana nayo.
Yule jamaa akahamia South Africa 2018 alipofika kule akanitafuta akanikumbishia tena akaniambia kule south africa ipo na wanafundishwa darasani.
Yule jamaa akajiunga kupitia broker wa kule .
Sasa hivi Yule jamaa sio mtu wa kawaida kwa ukwasi Sasa hivi anaishi florida usa na shughuli anayoifanya ni hiyo hito ya cryptocurrency trading kwa elimu aliyoipata kwanza kupitia nyuzi za Ontario.
Sifahamu huyo Ontario kashtakiwa kwa makosa gani ila kama itakuwa kuhusu mambo ya forex sidhani kama wataweza kumtia hatiani.
Mwisho ukweli ni kwamba forex is real business Nchi kibao wameanzisha courses zake kwa wanafunzi
Basi Sawa mbumbumbuKiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa vilaza walipataje hizo Kazi .
Hakimu hakuna anachoelewa ,Mwanasheria the same.
Wewe ni mmoja wa watu wasiokuwa na mihemko waliochangia kwenye huu uzi.Ninawasganga sana watu wanaosema huyo ontario aliwatapeli watu kupitia forex.
Mimi binafsi nilijua kwa mara ya kwanza kuhusu hayo mambo ya forex kupitia threads za huyo jamaa kipindi hicho nipo India.
Sasa nikamshirikisha jamaa yangu tuliyekuwa naye huko India tukaanza kuifatilia tukakuta kule India kipindi hicho ilikuwa haoruhusiwi tukaachana nayo.
Yule jamaa akahamia South Africa 2018 alipofika kule akanitafuta akanikumbishia tena akaniambia kule south africa ipo na wanafundishwa darasani.
Yule jamaa akajiunga kupitia broker wa kule .
Sasa hivi Yule jamaa sio mtu wa kawaida kwa ukwasi Sasa hivi anaishi florida usa na shughuli anayoifanya ni hiyo hito ya cryptocurrency trading kwa elimu aliyoipata kwanza kupitia nyuzi za Ontario.
Sifahamu huyo Ontario kashtakiwa kwa makosa gani ila kama itakuwa kuhusu mambo ya forex sidhani kama wataweza kumtia hatiani.
Mwisho ukweli ni kwamba forex is real business Nchi kibao wameanzisha courses zake kwa wanafunzi
Ni kwa kuwa mnafanana kwa ujingaKiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa vilaza walipataje hizo Kazi .
Hakimu hakuna anachoelewa ,Mwanasheria the same.
Tundu Lissu ana akili za kawaida tu sema ni comedian mzuri sana!Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa vilaza walipataje hizo Kazi .
Hakimu hakuna anachoelewa ,Mwanasheria the same.
Ongezea na kusema hakuna mtu hana akili hapa Tanzania km wewe. Kwanza elewa watu wenye akili wako kwenye sayansi, teknolojia, uhandisi na udaktari. Sheria ni fani ya mademu. Pili watu wenye akili kitabia ni watulivu sana, yule lofa wako amekariri vifungu tu na ni mpayukaji hasa mbele za watu. Zile mbwembwe ni kwanza kupanic, sifa kwamba anajua sana, kupanic, anatumia fursa ile kutafuta huruma(public sympathy), hakimu na wakili wa serikali kutokuwa na mbwembwe na kuwa watulivu haimanishi hawajui, ndivyo inavyotakiwa kwa mtu msomi, matured. Tuletee matokeo ya Lissu kuanzia sekondari mpk university, mtu wa kawaida sana sema hajakomaa kiakili amekaa kitoto sana. Ni mtu wa kawaida sana hana rekodi ya kufanya jambo lolote la kiubunifu hp nchini. Ht akifa leo hakuna alicho-achieve. Kujaribu kushindana na serikali jambo ambalo ni ngumu siyo akili.Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa vilaza walipataje hizo Kazi .
Hakimu hakuna anachoelewa ,Mwanasheria the same.
Una akili, wa kawaida sana sema anapenda show off hasa mbele za watu, wajinga wenzake km mleta mada anavyoona wenzake wanavyoongea kwa utulivu kwamba hawajui.Tundu Lissu ana akili za kawaida tu sema ni comedian mzuri sana!
Tundu Lissu kwa kujitetea mwe2nyewe anathibitisha kwamba hizi doctrine za kwenye Sheria hazijui kabisa au kwa u " much know" amezisahau kabisa!
1. Don't be an advocate on your own cause/case.
2. Learn to listen from others.