DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Wewe utakuwa ndo walewaleNinawasganga sana watu wanaosema huyo ontario aliwatapeli watu kupitia forex.
Mimi binafsi nilijua kwa mara ya kwanza kuhusu hayo mambo ya forex kupitia threads za huyo jamaa kipindi hicho nipo India.
Sasa nikamshirikisha jamaa yangu tuliyekuwa naye huko India tukaanza kuifatilia tukakuta kule India kipindi hicho ilikuwa haoruhusiwi tukaachana nayo.
Yule jamaa akahamia South Africa 2018 alipofika kule akanitafuta akanikumbishia tena akaniambia kule south africa ipo na wanafundishwa darasani.
Yule jamaa akajiunga kupitia broker wa kule .
Sasa hivi Yule jamaa sio mtu wa kawaida kwa ukwasi Sasa hivi anaishi florida usa na shughuli anayoifanya ni hiyo hito ya cryptocurrency trading kwa elimu aliyoipata kwanza kupitia nyuzi za Ontario.
Sifahamu huyo Ontario kashtakiwa kwa makosa gani ila kama itakuwa kuhusu mambo ya forex sidhani kama wataweza kumtia hatiani.
Mwisho ukweli ni kwamba forex is real business Nchi kibao wameanzisha courses zake kwa wanafunzi
Duuuh...
Lissu anatukuzwa saana. Mmemsifu kukimbia na ashapapita kwake.
Kama ungesema Kibatala ni mwanasheria mzuri yes huyu nakubaliana na wewe. Lissu Jana alisema nini most of the time Kalia Lia... msianze kutukana maana nawajua.
Kibatala aachiwe kesi...
Wewe ni mmoja wa watu wasiokuwa na mihemko waliochangia kwenye huu uzi.
Natamani tungekuwa na watu wengi kama wewe.
Binafsi sijawahi kuiamini forex...naamini katika uzakiishaji...tangible products. Ukifuatilia nyuzi zote za ONTARIO za forex sikuwahi kumshawishi mtu au wala kuandika comment iliyolubaliana na biashara yake ya forex kwasababu siamini katika forex.
Kutokuamini kwangu forex hakujawahi kunifanya kumuita tapeli yeyote anayefanya forex. Ontario kakamatwa lakini watu wanafanya mistake ile ile ya presumption.
Hawana uhakika wa alichokamatiwa ila tayari wanahukumu yake. So absurd.N
Ana akili sana, ila ni Wakili ambaye hajawahi kushinda Kesi yoyote. Ni mzungumzaji mzuri na jasiri. Na akinukuu na vifungu na vitabu unaweza hisi uko mikono salama.Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Yupo sahihi kwa maoni yake.Kwani mtu akisema imani yake kwamba hajaona mtu kama Lissu unambishia kwamba aseme kaona? Mantiki ya mtoa hoja naona umeenda mbali nayo!
Sijui amekamatwa kwa kosa gani siwezi kutoa maoni yoyote kuhusu hili.Ontario kwa sasa anatumikia karma yake na atarudi from zero
Ushabiki wa kipuuzi unaweza mdharau hata aliyekuzaa ukasema Lissu ana akili kuliko baba yako, watu wako kazini wanatafuta kazi wapate pesa kwa njia zao nyie mnakurupuka tu na kauli za kitoto.Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Huko miaka ya nyuma niliwahi kuhudhuria kesi ya Uchaguzi kati ya Joseph Sinde Warioba na Stephen Masato Wasira chini ya Hayati Jaji Kahwa Lugakingira pale MCC Musoma .Una akili, wa kawaida sana sema anapenda show off hasa mbele za watu, wajinga wenzake km mleta mada anavyoona wenzake wanavyoongea kwa utulivu kwamba hawajui.
Wale wasouth wa Durban mlitupia picha hapa wakiwa na Mercedes wakiwa Centurion nilisema huu ni utapeli na hao ni matapeli mlikua wakali kama pili pili na yule demu alikua akiwasapoti nimesahau ID yake...Ontario aliliwa kichwa na Wasouth Africa. Hakuwa anakula yote.
Alikuja kugundua late.
Lissu yupo vizuri bhana kumsifia mtu kuwa yupo vizuri kwani utakufa waswahili bhana...Huko miaka ya nyuma niliwahi kuhudhuria kesi ya Uchaguzi kati ya Joseph Sinde Warioba na Stephen Masato Wasira chini ya Hayati Jaji Kahwa Lugakingira pale MCC Musoma .
Warioba alikuwa na mawakili wakiongozwa na Wakili Josephat Rweyemamu na Wasira akiwa na Mawakili wakiongozwa na Wakili Mabere Nyaucho Marando.
Ilikuwa ni kesi nzuri sana iliyoendeshwa kitaalamu sana!
Nilimwona Joseph Sinde Warioba akiwasikiliza wanasheria wake wakipambana na Wakili Mabere Nyaucho Marando na Kila akiona Wakili Marando anawazamisha Mawakili wake alikuwa akiandika vimemo kuwasaidia!
Hapo ndo nilijua kuwa kumbe Joseph Sinde Warioba pia alikuwa Mwanasheria Nguli.
Katika kesi ile kuna mtu Maarufu sana aliibuka akiitwa Miyasi Chang'ang'a!
Umaarufu wake ulitokana na Cross examination aliyofanyiwa na Wakili Mabere Nyaucho Marando.
Kwahiyo Joseph Sinde Warioba aliziishi doctrines hizo mbili za Sheria kwamba;
1. Don't be an advocate on your own cause/case
2. Learn to listen from others
Tundu Lissu maneno meeeeengi na wakati mwingine anapoteza focus kabisa ; mara European Union is watching as if Tanzania ni colon la European Union ama inawajibika kwa European Union.
Sawa anatetea haki yake ambayo hata mimi simpingi lakini aache comedy na u- much know!!
kesi imeisha?Ontario yupo jela kesi haina dhamana
Huyu mwenzake Daby wote watabaki kuunga unga
Wizi haufai walikula hela za watu dah
Ontario hata kumpandishia threads hamtaki, nyie wazayuni watu wabaya sana 😅!.Ontario yupo jela kesi haina dhamana
Huyu mwenzake Daby wote watabaki kuunga unga
Wizi haufai walikula hela za watu dah
Ndivyo ilivyo mkuuKiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Katika ardhi ya bongo, kama kuna watu walisoma fani zao wakaelewa,ni huyu jamaa, is, the best regal mind, of our time, mwingine alikuwa Prof Kabudi,Ila baada ya kulamba asali,huwa anawaza kwa kutumia tumbo na makalio,Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Duuuh...
Lissu anatukuzwa saana. Mmemsifu kukimbia na ashapapita kwake.
Kama ungesema Kibatala ni mwanasheria mzuri yes huyu nakubaliana na wewe. Lissu Jana alisema nini most of the time Kalia Lia... msianze kutukana maana nawajua.
Kibatala aachiwe kesi...
Analeta uccm wake kwenye ukweliUnaongea uongo Lisu sio mganga njaa hata kidogo acha propaganda itakuwa humjui vizuri Lisu