Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Wewe hutoboi kwa ubize huu. Dunia ya leo wanaotoboa ni "Smartworkers" siyo "Hardworkers" Kama wewe.
Mleta mada chakula chake kikuu ni ugali. So anaogopa akifika mkutanoni badala ya kuelezwa sera za chama, atashambuliwa kwa sababu ya ulaji wake wa ugali.
Yani mwanasiasa aliejaaliwa rizki ya kununua mchele anamdhihaki mwananchi aliejaaliwa rizki ya kununua unga wa ugali.
Siku hizi sera za chama kikuu cha upinzani ni kushambulia na kuwatukana bodaboda, wala ugali, watembea kwa miguu nk.
sukuma gang na uvccm mmeshtukiwa na bodaboda mpaka mtoto wa majaliwa aendeshe bodaboda ndio tuamin kuwa bodaboda ni kaz nzuri.Halafu mnawadhihaki wananchi kuhusu bodaboda, vikoba, ugali n.k., mtaendelea kuvuna mnachopanda.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula , kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?
Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.
Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo watanzania.
Litaka waache kazi waende mikutanoni tu?Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula , kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?
Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.
Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo watanzania.
utapigika hivyohivyo kwa ujinga wako mpaka uzeen na siasa itakupangia kila kitu kwenye maisha yako utake usitake.Napiga kazi kuanzia asubuhi saa 1 mpaka saa 11 Jioni naingia tena kazini saa 12 na nusu Jioni mpaka kunakucha majogoo 12 Asubuhi, mda wa mkutano wa hadhara nautoa wapi kimfano?
MATAGA unajua maana yake?Mlipokuwa mnaambiwa mmeingia uchumi wa kati mlikuwa mnakenua meno kama mazuzu, kumbe hata pesa ya kula na kuwapa watoto wenu wanunue visheti na barafu kwenye elimu bure hamna. Poor you mataga[emoji90]
utapigika mpaka uzeeke na mikutano ya hadhara kupitia siasa itakupangia hadi chupi bei yake na hizo kahawa zako utauza sana huku sukuma gang wenzako wakijambajamba hovyo mitandaon maana mwisho wenu ni 2025 tunawafuta kabisa baada ya hapo.Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
fanya kazi ya kipato chako acha kuweweseka jombii! gari lilishawaka ni mwendo mdundo!
Mimi naona Magufuli alikuwa sawa kuvi ban hivi vimkutano uchwara
Mtu mwenyewe kazi yake hawezi kuachana na kazi kwaajili ya mikutano isito na faida
chadema utawauwa sukuma gang na bado kufikia 2025 lazima muwe machizi na mazezeta kabisa baada ya hapo mtafutika.Watu washawachoka , unaenda kwenye mkutano unaambiwa Kaz yako ya laana
Impact ipo. Kwa CCM wanafaidi maana Chadema inaonekana kukosa mvuto!Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula , kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?
Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.
Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo watanzania.
wajinga kaendeshen bodaboda huku watoto wa majaliwa wakifanya kaz BOT NA TRA.