Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Kitendo cha kuona ubwabwa na nyama ni anasa inadhihirisha jinsi gani nchi yetu bado ni maskini sana.
Mleta mada chakula chake kikuu ni ugali. So anaogopa akifika mkutanoni badala ya kuelezwa sera za chama, atashambuliwa kwa sababu ya ulaji wake wa ugali.

Yani mwanasiasa aliejaaliwa rizki ya kununua mchele anamdhihaki mwananchi aliejaaliwa rizki ya kununua unga wa ugali.
Siku hizi sera za chama kikuu cha upinzani ni kushambulia na kuwatukana bodaboda, wala ugali, watembea kwa miguu nk.
 
Mlipokuwa mnaambiwa mmeingia uchumi wa kati mlikuwa mnakenua meno kama mazuzu, kumbe hata pesa ya kula na kuwapa watoto wenu wanunue visheti na barafu kwenye elimu bure hamna. Poor you mataga[emoji90]
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula , kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo watanzania.
 
Litaka waache kazi waende mikutanoni tu?
 
Napiga kazi kuanzia asubuhi saa 1 mpaka saa 11 Jioni naingia tena kazini saa 12 na nusu Jioni mpaka kunakucha majogoo 12 Asubuhi, mda wa mkutano wa hadhara nautoa wapi kimfano?
utapigika hivyohivyo kwa ujinga wako mpaka uzeen na siasa itakupangia kila kitu kwenye maisha yako utake usitake.
 
Mlipokuwa mnaambiwa mmeingia uchumi wa kati mlikuwa mnakenua meno kama mazuzu, kumbe hata pesa ya kula na kuwapa watoto wenu wanunue visheti na barafu kwenye elimu bure hamna. Poor you mataga[emoji90]
MATAGA unajua maana yake?
Ni zaidi ya laana na vizazi vyote vya TANZANIA havita sahau historia ya hii nchi kuanzia 2015-2021 tuliingizwa na MATAGA kwenye TANURU LA MTO Mungu akaamua kuingilia ugomvi
 
Mtu mwenyewe kazi yake hawezi kuachana na kazi kwaajili ya mikutano isito na faida
 
Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
utapigika mpaka uzeeke na mikutano ya hadhara kupitia siasa itakupangia hadi chupi bei yake na hizo kahawa zako utauza sana huku sukuma gang wenzako wakijambajamba hovyo mitandaon maana mwisho wenu ni 2025 tunawafuta kabisa baada ya hapo.
 
Unategemea Maisha yako yawe mazuri kupitia kwa mgongo wa mwana-siasa.
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula , kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo watanzania.
Impact ipo. Kwa CCM wanafaidi maana Chadema inaonekana kukosa mvuto!
 
Back
Top Bottom