Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
Mkuu we huoni faida kabisa? Mbona mama ntilie wamefurahia sana mana wanapika vyakula na watu wanavimaliza vyote wakiwa mkuta oni au kwenye mkutano watu Huwa hawali. Mahoteli yanatengeneza pesa pia mana watu wanaotoka mbali lazima wale na in most cases wanalala. Pia ni ajira kwa vijana wengine ambao hawakuwa na ajira mf pambalu na wengine wengi. Faida nyingine watu wanapata pa kupumulia baada ya kukandamiza na jiwe kubwa. Kwa mfano marekani wamejenga jengo kubwa hivi kwamba ukiwa na hasira dhidi ya yeyote, rais au yeyote basi unaenda hapo unatukana kwa sauti mpaka matusi ya nguoni ukitoka hapo uko relieved na ni tiba kwa magonjwa ya moyo na pressure.

Siku nyingine kabla hujaandika tumia hiyo akili yako ndogo kufikilia mara mbilimbili itakusaidia rather than retiring here.
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
Sukuma gang katika strategies uchwara.
 
Mikutano mingapi imefanyika? Positive Impact Is too broad! Ulitarajia impact Gani? Mikutano ya hadhara ikulipie Ada? Ikuletee chakula mezani? Wewe ni MPUMBAVU kama Wapumbavu wengine
 
Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Umetisha mkuu wewe ni Moja Kati ya watanzania wanaojielewa
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
ndiyo maisha....wewe deal na yako. na hao wanasiasa ndiyo maisha yao. hata usipoenda watakodi watu wa kuwasikiliza
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
Sasa wewe unaishi kwa shemeji yako diwani wa ccm utajuwaje impact ya mikutano wakati kutoka tu kwenda kwenye mikutano hadi uombe ruhusa kwa shemeji yako.
 
Napiga kazi kuanzia asubuhi saa 1 mpaka saa 11 Jioni naingia tena kazini saa 12 na nusu Jioni mpaka kunakucha majogoo 12 Asubuhi, mda wa mkutano wa hadhara nautoa wapi kimfano?
Pole sana lkn hayo ndiyo maisha maana hata vidole vya mikono na miguu havilingani
 
Back
Top Bottom