Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #21
Sasa ukitaka kuona kamati kuu hawajui wafanye nini, angalia mbowe kakiri kuwa kuna wagombea 36 wa ubunge na wengine 500+ wa udiwani wameenguliwa, ila hadi leo hawajui wafanye nini ili hawa wagombea warudishwe na tume..hakuna tatizo lolote lile TL kueleza msimamo wake.
..tena wajumbe wa kamati kuu mmoja mmoja wangejitokeza na kueleza msimamo wao.
..at the end of the day msimamo unaoungwa na wengi ndio kauli ya mwisho ya chama na mgombea.