Uchaguzi 2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

Uchaguzi 2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

Lissu alishaeleza vizuri kabisa, kwamba kamati kuu ikiamua vinginevyo ataheshimu.sioni kosa...
 
Bro hata sisi tumekata tamaa yan.tukijua leo jumapil mpela mpela
 
Kampeni yake ya "ziara" za mitaani, makanisani, ni hatari zaidi ya hizo za majukwaani. Akili ni nywele. Pia kumbuka Lissu ni kipenzi cha watanzania. Atafuatiliwa popote alipo na kwa lolote asemalo.
 
He is a president na huwezi kumny’angany’a urais hata kama ni mgombea. Hangaika na akina hornet tu
Hujui ulichoandika!Ngoja nikuelimishe.Sheria za tume ya uchaguzi zinamtenganisha Rais na mgombea wa kiti cha urais.Sheria za tume ya uchaguzi zinamtaka mtu ambae alikuwa ni Rais aweke urais wake pembeni wakati wa kugombea nafasi hiyo ya urais na atii sheria zote zinazohusu uchaguzi sawasawa na wagombea kutokea vyama vya upinzani.
 
Ndo ujue chadema huwa wanatoa taarifa za uongo mara nyingi tu
 
Mbona hilo linajulikana kwamba Lissu ni mropokaji. Ni vizuri leo Kamati yako imekuthibitishia hivyo kamanda. Lissu usiamini anachokisema. Umeona leo Mbowe anakiri kuwa ni mtu wa ku-lose temper. Hafai kuwa Rais. Anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima.
Kama Lisu ni mropokaji MAGUFULI ni mpayukaji kabisa
 
Unajifanyaga mjuaji bure. Huwezi kumtenga JPM na Urais!
Sheria za tume ya uchaguzi:

1.Zinakataza matumizi ya magari ya serekali katika kampeni za uchaguzi.(Magufuli anatumia magari haya katika kampeni)

2.Zinakataza waziri mkuu kutumia cheo chake katika kampeni za uchaguzi(Majaliwa anatumia cheo chake cha uwaziri mkuu katika kampeni)

3.Zinakataza maofisa wa serekali kama walimu,etc kutumiwa na chama fulani katika kampeni za uchaguzi(CCM inatumia watumishi wa umma katika kampeni zake)

4.Zinakataza kutoa fedha katika kampeni(Magufuli anatoa mammilion ya fedha kote anakopita)
 
Mbowe umezingua, kwa mara ya oili katika maisha yako unacheza boko, mara ya kwanza kwny bunge la escrow pinda alielekea kibra kujiuzul, ukaingilia kati ukamlinda,
Mara ya pili leo mjomba lissu tayar kawapeleka kibra CCM na ukoo wake, umempunguza kasi tena, MBOWE UNAZINGUA
 
Wewe unafahamu CHADEMA wanatakiwa wafanye nini?

Tunatakiwa tuilaumu tume kwa kutokutenda HAKI.

Tunakosea sana kulaumu cdm ambao wamenyimwa haki.
Washabiki wengi wa vyama vya upinzani tumejificha,tuwashukuru hata hao ambao wamejitoa sadaka na kujulikana.
Wasialumiwe
 
Kuna tetesi kuwa mgombea hatorudi tena jukwaani. Amekerwa na maauzi ya kamati. Stay tuned!
Mbowe kaja na maamuzi ya hovyo sana, kwa hapa alipoifikisha chadema tunamshukuru sana ila kwa maamuzi ya hovyo km haya tutamuomba atuachie chama chetu Kwa sasa tunaitaji siasa za kihanarakati na sio siasa za kubembelezana anazoziendekeza yeye
 
Washabiki wengi wa vyama vya upinzani tumejificha,tuwashukuru hata hao ambao wamejitoa sadaka na kujulikana.
Wasialumiwe

..hata buku 7 wanapata ujira wao kwa kupost dhidi ya cdm hapa JF.

..cdm ikifutika hawa vijana wa mataga watakimbia hapa mjini.
 
Wewe si mshabiki wa Lissu, Ni puppet wa wawatala , mnashangilia ili mgombea wenu apite bila kupigwa mnavopenda vya free.
 
Back
Top Bottom