Uchaguzi 2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

Uchaguzi 2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

Kuna tetesi kuwa mgombea hatorudi tena jukwaani. Amekerwa na maauzi ya kamati. Stay tuned!
Hata Mimi ningegoma Hahahaha KUTOKA KUPIGA KAMPENI MPAKA KUTEMBELEA MAMA NTILIE NA WAGONJWAA hahahaha ila CHADEMAA
 
Kamati kuu wanatoleaje maamuzi ikiwa hawajapokea barua?
Wewe siyo CHADEMA, kakupa nani mamlaka ya kushauri huu ujinga? Hivi mbona hamuwapelekei majambazi CCM huo ushauri maana sasa hivi wanauhitaji sana!
 
Sasa kama yeye hajaipata barua, kamati kuu wanakubali vipi adhabu hiyo ikiwa mhusika hajapokea barua?
Yeye alichosema barua alistahili apelekewe yeye so Mwenyekit wake LUMUMBA tulia dawa iingiee
 
Ndio hapo sasa, lissu anasema hajapokea barua na msimamo wake ni kuendelea na kampeni. Kamati kuu inaenda kukaa na kutoa maamuzi bila barua kumfikia lissu
Kuna shida kwenye kamati kuu
Ilitakiwa kamati kuu nao wakane kupokea barua
me mwenyewe imeniuma sana, kwa hali hii sina imani kama lissu na chadema kwa ujumla watajisimamia mara baada ya tume kumtangaza jiwe(mgonbea wao) kama mshindi ilihali ni kinyume chake!!
 
Usiwe bendera fuata upepo.
Lissu alisema hajapokea barua, hivyo hatambui hiyo adhabu.
Kamati kuu nao walipaswa waseme hawajapokea barua, ila kitendo cha kamati kuu kuja na hayo maazimio ya kukubali adhabu ya tume ni dhahiri wanakiri kupokea barua
Kama hujapenda maamuzi ya kamati kuu hamia ccm mkuu
 
Hivyo hiyo barua haimuhusu mgombea, si ndiyo? Sasa inakuwaje chama nacho kinaamua mgombea asiendelee na kampeni?
Wewe kichwa maji chama Kama chama kimepokea barua
 
Kweli LISU KUNA wakati anakuwa MGOMBEA ANAEWAKILIASHA CHAMA NA AKUNA WAKATI ANAKUWA MGOMBEA BINAFSI hahahaha Eti CHAMA kikuu cha upinzanii Ivyo kabisa Kutupotezea Muda Sema Mbowe Leo Kamwonyesha KUWA CHAMA KINA WENYEWE NA WANAWEZA KUAMUA NA UKAKUBALI
Mtaongea yote mwaka huu!! Chadema mwaka huu ni Chama Chenye mikakati imara na watu wenye akili kuliko CCM

Jiandaeni tu kwa kumfungia Lissu👇

5600E05C-752E-41D8-86C4-1F4008D0219C.jpeg
 
Mbowe ni mjanja mchaga yule,aendiendi tu kama mnavyotaka nyinyi yule ni mchaga mfanyabiashara mtafuta pesa.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Juzi Lissu kasema hajapokea barua na ataendelea na kampeni leo, wengi tukafurahi na kusema mwaka huu bampa to bampa. Sasa hapa kosa langu nini?
Lissu ni koko tuu kama makoko mengine mitaani.wengi tulikuwa tumeshajiandaa kwenda kukinukisha mitaani na polisi lakini ndo hivyo tena ametuangusha sana.
 
Lissu alisema clear ule ni msimamo wake binafsi na alisema anasubiri maamuzi ya kamati kuu ya Chama na maamuzi yatakayotolewa hayo ndo atayaheshimu
Kulikuwa kuna maana gani kuitisha press au alitaka awape salamu hao mabeberu wapate cha kuongelea kwenye media zao? na kweli antena zote leo zilikuwa zimeelekezwa huku kuona kweli alikuwa anamaanisha au alikuwa anataka BW. robert awaandikie barua tume kama kawaida yake?
 
Kulikuwa kuna maana gani kuitisha press au alitaka awape salamu hao mabeberu wapate cha kuongelea kwenye media zao? na kweli antena zote leo zilikuwa zimeelekezwa huku kuona kweli alikuwa anamaanisha au alikuwa anataka BW. robert awaandikie barua tume kama kawaida yake?
Mungu kawanyima akili mwaka huu!! Hamtaekewa stratergy ya Chadema na Lissu!! Ila jueni tu yote mnayofanya wenye dunia wanachukua kila kitu na jiandaeni tu!!
9482DA9F-0B3C-419E-BFCB-3C4BBD2C0B38.jpeg
 
Kumpokea lowasa toka ccm?
Ilikipaisha chama mbaya. Nani aliyefikiri chama leo kingepokea zaidi ya 300m kwa mwezi kama ruzuku! Lowasa kaacha historia iliyotukuka chadema.
 
Wewe angalia chura tu, hayo mengine yawache yalivyo! Huwezi kutoa msimamo na baadaye ukasema uamuzi wa mwisho ni Kamati kuu! Kwanini ukurupuke usisubiri vikao? Kwanini uitishe press conference kabla ya vikao? Anawaweka pahala pagumu.
Yaani aliefanya mistake ni Lissu wa chadema ila anaeumia na kutoa mapovu ni wewe mtu wa CCM!Umechanganyikiwa?Hii kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?
 
Hongereni Chadema..na Hongera MH.LISSU ulikua umetegwa sasa mtego umeteguliwa. Ungethubutu kulazmisha watesi Wangepata sababu. Sasa hivi waamechanganyikiwa Mana mjadala wa maamuzi ya kamati umepamba moto mtaani, wengi wakiona kamati na Tume imekaa kiupendeleo:
Hii kwako ni credit...!!huu ni wakati wakutembelea mahabusu,wagonjwa na watu wenye mahitaji maalum...mana ndy kazi ya mtetezi wa wenye kuonewa na wenye mizgo mbalimbali.
Tanzania ni yetu sote na si ya Kikundi cha watu...!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Endelea kutafuta K za bure humu JF mengine tuyaache
Hili la kufungiwa Lissu kufanya kampeni siwezi kuliacha kwa sababu ninyi vijana wa CCM ni wapumbavu katika kujenga hoja!Magufuli atapewa adhabu lini?Unaelewa kuwa Magufuli anavunja sheria za uchaguzi kuliko mgombea yeyote yule Tanzania?

Akiwa kwenye kampeni anaagiza mamilion ya fedha kupelekwa kwenye maeneo anayopita ambapo kwa mujibu kwa sheria za uchaguzi hiyo ni rushwa.Magufuli anawagawa Watanzania kwenye kampeni zake,utasikia akiwa anasema kuwa msiponiletea mbunge hapa sileti maji.Magufuli anafanya kampeni nje ya ratiba ya tume.

Waziri mkuu anafanya kampeni kwa kutumia cheo chake cha uwaziri mkuu.Magufuli pamoja na waziri mkuu wanatumia rasilimali za serekali kama vile fedha na magari ya serekali kufanya kampeni.Haya yote ni kinyume cha sheria za uchaguzi.Yeye atachukuliwa hatua lini?

Kwa nini unakuwa na double standard?Yaani Magufuli akivunja sheria sawa ila Lissu akivunja sheria anapaswa kupelekwa kwenye tume ya maadili!Wewe pamoja na tume ya uchaguzi nikiwaita kuwa ni wapumbavu,masikini wa akili na mbumbumbu kwa sababu mnaamini katika double standard nitakuwa nimewaonea?
 
Back
Top Bottom