Uchaguzi 2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

Msimamo binafsi, kwani ni mgombea binafsi?
Timing ni ya muhimu katika vita. Tutafika huko. Mwaka huu kitakacholeta ukombozi ni nguvu ya umma tu. Haikwepeki. Lini? Siku gani? Je ni sasa? Ndio maana unakuta wamewaengua wagombea wetu lakini bado tunawalia timing. Wamemsimamisha Lissu lakini time bado. Tunangoja wafike kwenye point of no return. Hapo basi! Nguvu ya umma!
 
Sasa shida ni kamati kuu inatoaje maamuzi ikiwa barua haijamfikia mlengwa? Au kamati kuu walipata barua kutoka NEC??
Lissu alishaeleza vizuri kabisa, kwamba kamati kuu ikiamua vinginevyo ataheshimu.sioni kosa...
 
Kwa maana hiyo lissu hakuwa na kosa, kama ni hivyo kamati kuu inakubali vipi maamuzi ya NEC?
Chama kilipokea barua, Mnyika alijibu kama mtendaji wa CDM. Lisu alichotaka ni barua in person kama mgombea not kama chama.
 
Lissu alisema clear ule ni msimamo wake binafsi na alisema anasubiri maamuzi ya kamati kuu ya Chama na maamuzi yatakayotolewa hayo ndo atayaheshimu
Kuna watu kuwlewa kwao hadi wapigwe vitu vizito kichwani, achana naye
 
Mbona hilo linajulikana kwamba Lissu ni mropokaji. Ni vizuri leo Kamati yako imekuthibitishia hivyo kamanda. Lissu usiamini anachokisema. Umeona leo Mbowe anakiri kuwa ni mtu wa ku-lose temper. Hafai kuwa Rais. Anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima.
Leo nimeamini ule msemo usamao "Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha".Mbona MZEE wa Chato naye ni mropokaji ,lkn hamsemi?,Jamani " Haki huinua Taifa".
 
Habari wanajf, moja kwa moja niende kwenye mada husika.

Juzi wengi tulimsikia mgombea wetu akiweka msimamo mara mbilimbili kuhusu kuendelea na kampeni siku ya leo na kwa muktadha huo alikuwa anamaanisha na ndio maana akafanya press siku hiyo.

Na kwa uhakika makamanda tulikuwa tumejiandaa kwa lolote, ikumbukwe tulishasema SASA BASI.

Mgombea wetu alieleza wazi kuwa hajapokea barua yoyote na hajasikilizwa hivyo uamuzi huo wa tume ni batili kwa kuwa barua haijamfikia kabisa.

Kitendo cha kamati kuu iliyoongozwa na mwenyekiti wetu kuja na maamuzi tofauti na aliyosema mgombea wetu ni tatizo kubwa sana.

Kwanza ni kama mmekiri kupokea barua ambayo kimsingi alivyoeleza mgombea ni kuwa haijapokelewa.

Pili, ni kama mmemuweka mgombea wetu kwenye mtego kwa kuonekana alikurupuka siku ya juzi kutoa maamuzi kabla ya kamati kuu kukaa.

Tujirekebishe au la sivyo basi mgombea wetu aambiwe asitoe msimamo kabla ya kamati kuu kuamua.

Mwenyekiti amekiri kuwa wagombea ubunge 36 wameenguliwa na wagombea udiwani 500+ wameenguliwa , ila cha kushangaza hadi leo hii chama hakijui wafanye nini ili hawa warudishwe na ni kama ndio imeshatoka hiyo
Ina maana wewe ndo umegundua leo kuwa mgombea wetu ni mrupukaji?
Mbona woooote kwenye chama tunalijua hilo.
 
Kwanza nikufahamishe mgombea wenu aliwaongopea kabisa..alijifanya hajapokea barua wakati tunajua barua zilishafika Kwa katibu mkuu..hivi mnadhani. NEC nimambumbumbu..khaaa...lakini pia Lissu hakuwa na ubavu was kuendelea na kampeni kwa sababu alijua kabisa maamuzi ya ile kamati ni halali kisheria..no doubt na ndio maana kamati kuu imeamua kusitisha campaign..hawana ubavu wa kuendelea kwa sababu vinginevyo ingeweza sababisha hata mgombea wao kusimamishwa kabisaaa
 
Kwa maana hiyo lissu hakuwa na kosa, kama ni hivyo kamati kuu inakubali vipi maamuzi ya NEC?
Kamati Kuu ni vichwa vingi akiwemo Lusu, ambavyo kwa pamoja wanapima mambo ktk dimensions kadhaa: cons and prons ya maamuzi ya kuichukua. Hatimaye wakaja na hili na Lissu karidhia. Maamuzi ya pamoja always ni sahihi na ni jambo jema kwa move ya Lissu.
Press ya juzi ya Lissu ilikuwa ni mtazamo wake kwa namna alivyochukulia maamuzi yale ya Tume, ndiyo maana akasema bado anasuburi maamuzi ya Kamati Kuu ya chama chake juu ya ama aendelee au asiendelee na kampeni kwa siku hizo.
 
Inakuaje kamati kuu inaenda kujadili adhabu huku wakiwa hawajapata barua?

Aiyaaaa yaaaaa. Barua ya hizo allegations za Tume kwa Lissu ilitumwa CDM, na Mnyika kama mtendaji wa chama akajibu malalamiko hayo kuwa ''malalamiko hayo hayakihusu chama bali mgombea mwenyewe''. Lakini Tume iliendelea kusisitiza kuwa wao wanatambua chama kama mdhamini wa mgombea wa urais kupitia CDM and not Lisu in person. Mwisho wa siku walimsimamisha mgombea wa urais kupitia CDM ambaye anaitwa Tundu Lisu. Hivi ndivyo mambo yalivyokwenda. Ndiyo maana Kamati Kuu ya CDM ilidigest hii issue kwa kina.
 
Mbona hilo linajulikana kwamba Lissu ni mropokaji. Ni vizuri leo Kamati yako imekuthibitishia hivyo kamanda. Lissu usiamini anachokisema. Umeona leo Mbowe anakiri kuwa ni mtu wa ku-lose temper. Hafai kuwa Rais. Anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima.
Magufuli ni mropokaji zaidi ya Watanzania wote.
 
Mbowe jitathmini na busara zako zilizopitiliza,CCM haihitaji busara kwa sasa,inahitaji ubabe,jino kwa jino nyayo kwa nyayo ili tuheshmiane maadam hatuvunji sheria.Shortly Lisu alikuwa sahihi!!!
 
Habari wanajf, moja kwa moja niende kwenye mada husika.

Juzi wengi tulimsikia mgombea wetu akiweka msimamo mara mbilimbili kuhusu kuendelea na kampeni siku ya leo na kwa muktadha huo alikuwa anamaanisha na ndio maana akafanya press siku hiyo.

Na kwa uhakika makamanda tulikuwa tumejiandaa kwa lolote, ikumbukwe tulishasema SASA BASI.

Mgombea wetu alieleza wazi kuwa hajapokea barua yoyote na hajasikilizwa hivyo uamuzi huo wa tume ni batili kwa kuwa barua haijamfikia kabisa.

Kitendo cha kamati kuu iliyoongozwa na mwenyekiti wetu kuja na maamuzi tofauti na aliyosema mgombea wetu ni tatizo kubwa sana.

Kwanza ni kama mmekiri kupokea barua ambayo kimsingi alivyoeleza mgombea ni kuwa haijapokelewa.

Pili, ni kama mmemuweka mgombea wetu kwenye mtego kwa kuonekana alikurupuka siku ya juzi kutoa maamuzi kabla ya kamati kuu kukaa.

Tujirekebishe au la sivyo basi mgombea wetu aambiwe asitoe msimamo kabla ya kamati kuu kuamua.

Mwenyekiti amekiri kuwa wagombea ubunge 36 wameenguliwa na wagombea udiwani 500+ wameenguliwa , ila cha kushangaza hadi leo hii chama hakijui wafanye nini ili hawa warudishwe na ni kama ndio imeshatoka hiyo
Aisee...
 
My president
IMG_20201004_214038.jpeg
IMG_20201004_214806.jpeg
 
Ilikipaisha chama mbaya. Nani aliyefikiri chama leo kingepokea zaidi ya 300m kwa mwezi kama ruzuku! Lowasa kaacha historia iliyotukuka chadema.
Endelea kujitia madole na kunusa
 
Chama kilipokea barua, Mnyika alijibu kama mtendaji wa CDM. Lisu alichotaka ni barua in person kama mgombea not kama chama.
Hilo ndio lilimkera makengeza

Kwanini Lissu ajione yeye ndio kila kitu?

Mmeshafeli mapema
 
Back
Top Bottom