Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #21
Sasa ukitaka kuona kamati kuu hawajui wafanye nini, angalia mbowe kakiri kuwa kuna wagombea 36 wa ubunge na wengine 500+ wa udiwani wameenguliwa, ila hadi leo hawajui wafanye nini ili hawa wagombea warudishwe na tume..hakuna tatizo lolote lile TL kueleza msimamo wake.
..tena wajumbe wa kamati kuu mmoja mmoja wangejitokeza na kueleza msimamo wao.
..at the end of the day msimamo unaoungwa na wengi ndio kauli ya mwisho ya chama na mgombea.
Sasa ukitaka kuona kamati kuu hawajui wafanye nini, angalia mbowe kakiri kuwa kuna wagombea 36 wa ubunge na wengine 500+ wa udiwani wameenguliwa, ila hadi leo hawajui wafanye nini ili hawa wagombea warudishwe na tume
Sasa mkuu tulishasema toka awali kuwa mwaka huu hatutalia, mwaka huu SASA BASI. Iweje tena unauliza cdm wafanye nini?..wewe unafahamu cdm wanatakiwa wafanye nini?
..tunatakiwa tuilaumu tume kwa kutokutenda HAKI.
..tunakosea sana kulaumu cdm ambao wamenyimwa haki.
Sasa mkuu tulishasema toka awali kuwa mwaka huu hatutalia, mwaka huu SASA BASI. Iweje tena unauliza cdm wafanye nini?
Kwa hiyo na wewe unakiri kuwa hao wagombea ubunge na udiwani ndio basi tena?
Sio kweli mkuu pamoja na msimamo wa mgombea wao alisema anasubili mahamuzi ya kamati kuu
..wewe tueleze unapendekeza nini kifanyike kuhusu wagombea walioenguliwa na tume.
Swali la msingi sana. CHADEMA wanacheza na akili za wafuasi wao. Bahati nzuri watanzania wengi wamekwishaelewa michezo yao hii ya kitoto. Nawahurumia wanaofuata upepo wa CHADEMA na kuchezeshwa kama watoto wadogoInaenda mahakamani ikiwa hawajapokea barua??
Mimi sipo kamati kuu, kama kamati kuu haijui nini kifanyike ikiwa wagonbea wao wameenguliwa kwa makusudi basi hakuna kamati kuu hapo
Yeye alichosema barua alistahili apelekewe yeye so Mwenyekit wake LUMUMBA tulia dawa iingieeKwa maana hiyo kamati kuu imekubali kuwa ilipokea barua?
Kweli LISU KUNA wakati anakuwa MGOMBEA ANAEWAKILIASHA CHAMA NA AKUNA WAKATI ANAKUWA MGOMBEA BINAFSI hahahaha Eti CHAMA kikuu cha upinzanii Ivyo kabisa Kutupotezea Muda Sema Mbowe Leo Kamwonyesha KUWA CHAMA KINA WENYEWE NA WANAWEZA KUAMUA NA UKAKUBALILissu alisema clear ule ni msimamo wake binafsi na alisema anasubiri maamuzi ya kamati kuu ya Chama na maamuzi yatakayotolewa hayo ndo atayaheshimu
Kumpokea lowasa toka ccm?Mbowe umezingua, kwa mara ya oili katika maisha yako unacheza boko, mara ya kwanza kwny bunge la escrow pinda alielekea kibra kujiuzul, ukaingilia kati ukamlinda,
Mara ya pili leo mjomba lissu tayar kawapeleka kibra CCM na ukoo wake, umempunguza kasi tena, MBOWE UNAZINGUA
Tuwaulize..Anaenda Mahakamani ni CHADEMA au TUNDU LISSU maana Tukumbuke anachodai Lissu yeye ndiia Aandikiwe Kama Ni Lissu Vipi Tena unanenda mahakamani Usiendeleee na kampeni MZEE WA FARAGHAInaenda mahakamani ikiwa hawajapokea barua??
Kuna tetesi kuwa mgombea hatorudi tena jukwaani. Amekerwa na maauzi ya kamati. Stay tuned!Kitendo cha kamati kuu iliyoongozwa na mwenyekiti wetu kuja na maamuzi tofauti na aliyosema mgombea wetu ni tatizo kubwa sana.