Hata Mimi ningegoma Hahahaha KUTOKA KUPIGA KAMPENI MPAKA KUTEMBELEA MAMA NTILIE NA WAGONJWAA hahahaha ila CHADEMAAKuna tetesi kuwa mgombea hatorudi tena jukwaani. Amekerwa na maauzi ya kamati. Stay tuned!
Wewe siyo CHADEMA, kakupa nani mamlaka ya kushauri huu ujinga? Hivi mbona hamuwapelekei majambazi CCM huo ushauri maana sasa hivi wanauhitaji sana!
Yeye alichosema barua alistahili apelekewe yeye so Mwenyekit wake LUMUMBA tulia dawa iingiee
me mwenyewe imeniuma sana, kwa hali hii sina imani kama lissu na chadema kwa ujumla watajisimamia mara baada ya tume kumtangaza jiwe(mgonbea wao) kama mshindi ilihali ni kinyume chake!!
Wewe kichwa maji chama Kama chama kimepokea baruaSasa kama yeye hajaipata barua, kamati kuu wanakubali vipi adhabu hiyo ikiwa mhusika hajapokea barua?
Kama hujapenda maamuzi ya kamati kuu hamia ccm mkuu
Wewe kichwa maji chama Kama chama kimepokea barua
Mtaongea yote mwaka huu!! Chadema mwaka huu ni Chama Chenye mikakati imara na watu wenye akili kuliko CCMKweli LISU KUNA wakati anakuwa MGOMBEA ANAEWAKILIASHA CHAMA NA AKUNA WAKATI ANAKUWA MGOMBEA BINAFSI hahahaha Eti CHAMA kikuu cha upinzanii Ivyo kabisa Kutupotezea Muda Sema Mbowe Leo Kamwonyesha KUWA CHAMA KINA WENYEWE NA WANAWEZA KUAMUA NA UKAKUBALI
Mtaongea yote mwaka huu!! Chadema mwaka huu ni Chama Chenye mikakati imara na watu wenye akili kuliko CCM
Jiandaeni tu kwa kumfungia Lissu[emoji116]
View attachment 1590057
Kwani marekani ameshawai kucheka na kima???Hii kitu sahau.
Lissu ni koko tuu kama makoko mengine mitaani.wengi tulikuwa tumeshajiandaa kwenda kukinukisha mitaani na polisi lakini ndo hivyo tena ametuangusha sana.Juzi Lissu kasema hajapokea barua na ataendelea na kampeni leo, wengi tukafurahi na kusema mwaka huu bampa to bampa. Sasa hapa kosa langu nini?
Kulikuwa kuna maana gani kuitisha press au alitaka awape salamu hao mabeberu wapate cha kuongelea kwenye media zao? na kweli antena zote leo zilikuwa zimeelekezwa huku kuona kweli alikuwa anamaanisha au alikuwa anataka BW. robert awaandikie barua tume kama kawaida yake?Lissu alisema clear ule ni msimamo wake binafsi na alisema anasubiri maamuzi ya kamati kuu ya Chama na maamuzi yatakayotolewa hayo ndo atayaheshimu
Ntafurahi sanaKuna tetesi kuwa mgombea hatorudi tena jukwaani. Amekerwa na maauzi ya kamati. Stay tuned!
Mungu kawanyima akili mwaka huu!! Hamtaekewa stratergy ya Chadema na Lissu!! Ila jueni tu yote mnayofanya wenye dunia wanachukua kila kitu na jiandaeni tu!!Kulikuwa kuna maana gani kuitisha press au alitaka awape salamu hao mabeberu wapate cha kuongelea kwenye media zao? na kweli antena zote leo zilikuwa zimeelekezwa huku kuona kweli alikuwa anamaanisha au alikuwa anataka BW. robert awaandikie barua tume kama kawaida yake?
Ilikipaisha chama mbaya. Nani aliyefikiri chama leo kingepokea zaidi ya 300m kwa mwezi kama ruzuku! Lowasa kaacha historia iliyotukuka chadema.Kumpokea lowasa toka ccm?
Yaani aliefanya mistake ni Lissu wa chadema ila anaeumia na kutoa mapovu ni wewe mtu wa CCM!Umechanganyikiwa?Hii kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?Wewe angalia chura tu, hayo mengine yawache yalivyo! Huwezi kutoa msimamo na baadaye ukasema uamuzi wa mwisho ni Kamati kuu! Kwanini ukurupuke usisubiri vikao? Kwanini uitishe press conference kabla ya vikao? Anawaweka pahala pagumu.
Hili la kufungiwa Lissu kufanya kampeni siwezi kuliacha kwa sababu ninyi vijana wa CCM ni wapumbavu katika kujenga hoja!Magufuli atapewa adhabu lini?Unaelewa kuwa Magufuli anavunja sheria za uchaguzi kuliko mgombea yeyote yule Tanzania?Endelea kutafuta K za bure humu JF mengine tuyaache