Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
1,844
Reaction score
3,089
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu.

Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice.

Yaani nimeumia sana kwa hilo lisanamu kupewa jina la mama yangu kipenzi na mcha Mungu kama bibi yake Timotheo yule mtoto wa kiimani wa mtume Paulo.

Ombi langu kwa sasa ni Mungu aingilie kati kushughulika na hao wote walioshiriki huo ujinga wa kugawa jina la mama mcha Mungu, litumike kwa lisanamu.

Dhihaka zikafike tamati kwa kuharibu kila kilichotumika kutengeneza hilo lisanamu.

Na iwe hivyo.
 
Na lenyewe halipendi mamaako kutumia jina lake
 
2Tim 1:5
"Nikiikumbuka Imani uliyo nayo isiyo na unafiki, ambayo ilikaa kwanza katika Bibi Yako Loisi, na katika mama Yako Eunike (Eunice), nami nasadiki wewe nawe unayo".

Mkuu umenikumbusha jambo Kwa huu Uzi wako
 
Back
Top Bottom