Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

Kwan reggae siyo mziki jaman

Lucky dube Bob Marley walitumia mziki wao kutafuta ukomboz wa mtu mweusi dunian

Kuna ubaya gani kucheza reggae

Nyie ndyo zaman bongo fleva mlisema uhuni lakn Leo vijana wanamaisha kupitia. Bongo fleva

Emancipate urself from mental slavery

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!

Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa


Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,

Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,

“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”



Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu


Britanicca

Unaelewa maana ya maneno kwenye huo wimbo au unakandia tu?
 
Back
Top Bottom