Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

Daah kuandika kote huku hujui Passport yako unapata wapi na unahitaji nini na nini daah baadae utakuja kuuliza leseni udereva utakuja kumalizia na kadi ya yellow fever...
 
Kama upo serious una hitaji nipm
 
popoma unovyojifanya mjanja hapa jf nilidhani tayari utakuwa na gamba lako la kidijitali standby kwa michongo ya safari. kumbe mpaka leo huna.

kanuni moja wapo ya sisi watoto wa mjini ni kuwa na passport bila kujari upo ktk michongo ya kusafiri au lah.
 
Kwani ni lazima Kusafiri au kuwa na hiyo Pasi ( ya Kielektroniki ) kama labda sina mpango wowote wa Kusafiri?

Je, nilipokuwa na Pasi hiyo ya Kusafiria ( siyo hii ya Kielektroniki ) tokea mwaka 1990 hadi mwaka 2015 ulikuja hapa Kunipongeza kuwa ninayo?

Hoja yako ni ya Kipumbavu sana tu.
 
Njoo huku Morroco ni free tena kwa miguu kutoka kawe kuja hapa kinondoni morroco.
 
Vipi Puerto Rico Huwa unaendaje?
 
hata ile ya kianalogia hukuwahi kuwa nayo na hujawahi kutoka nje ya tz. acha kutupiga chai popoma.

NB:
raha yangu ni kuona una kula ban. najua utakuja wangu-wangu kama gari bovu kuni attack. na vile you can't control your emotions, it's very easy to put you into trouble.[emoji1787][emoji1787]
 
Sisi tulioitikia wito wa kwenda Burundi tunazo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…