LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mtoa mada ni kilazaHayo maswali yote majibu yake yapo kwenye web ya uhamiaji tena kwa kiswahili kama kihindi kinakusumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada ni kilazaHayo maswali yote majibu yake yapo kwenye web ya uhamiaji tena kwa kiswahili kama kihindi kinakusumbua
Mtoa mada ni kikazaHayo maswali yote majibu yake yapo kwenye web ya uhamiaji tena kwa kiswahili kama kihindi kinakusumbua
Zamani mabasi ya Mwanza yalikuwa yanapitia Nairobi yanatokea Sirari yanapita Tarime, Musoma, Bunda hadi Mwanza.Mtoa mada ni kilaza
Kama upo serious una hitaji nipmNa je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka?
Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa Wahusika hakuna Utoaji wa lazima wa Asante ya Kiulaghai / Rushwa?
Uko sahihi 100%.Mtoa mada ni kilaza
Uko sahihi 100%.Mtoa mada ni kikaza
Tz ni ya hovyo Sana!Swali liloulizwa ni kwamba kwanini ,ukiwa na pasi ya zamani isiwe ni rahisi kupata mpya ikiwa vielelezo ni vilevile tu na hii inatoa mwanya wa rushwa? Sio kwamba GENTAMYCIME swali lake ni hilo alilouliza ila anataka kujua akili zenu zikoje
Tena ni zaidi ya uovyo sanaTz ni ya hovyo Sana!
popoma unovyojifanya mjanja hapa jf nilidhani tayari utakuwa na gamba lako la kidijitali standby kwa michongo ya safari. kumbe mpaka leo huna.Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka?
Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa Wahusika hakuna Utoaji wa lazima wa Asante ya Kiulaghai / Rushwa?
Kwani ni lazima Kusafiri au kuwa na hiyo Pasi ( ya Kielektroniki ) kama labda sina mpango wowote wa Kusafiri?popoma unovyojifanya mjanja hapa jf nilidhani tayari utakuwa na gamba lako la kidijitali lstandby kwa michongo ya safari. kumbe mpaka leo huna.
kananu moja wapo ya sisi watoto wa mjini ni kuwa na passport bila kujari upo ktk michongo ya kusafiri au lah.
Njoo huku Morroco ni free tena kwa miguu kutoka kawe kuja hapa kinondoni morroco.Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka?
Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa Wahusika hakuna Utoaji wa lazima wa Asante ya Kiulaghai / Rushwa?
Vipi Puerto Rico Huwa unaendaje?Kwani ni lazima Kusafiri au kuwa na hiyo Pasi ( ya Kielektroniki ) kama labda sina mpango wowote wa Kusafiri?
Je, nilipokuwa na Pasi hiyo ya Kusafiria ( siyo hii ya Kielektroniki ) tokea mwaka 1990 hadi mwaka 2015 ulikuja hapa Kunipongeza kuwa ninayo?
Hoja yako ni ya Kipumbavu sana tu.
hata ile ya kianalogia hukuwahi kuwa nayo na hujawahi kutoka nje ya tz. acha kutupiga chai popoma.Kwani ni lazima Kusafiri au kuwa na hiyo Pasi ( ya Kielektroniki ) kama labda sina mpango wowote wa Kusafiri?
Je, nilipokuwa na Pasi hiyo ya Kusafiria ( siyo hii ya Kielektroniki ) tokea mwaka 1990 hadi mwaka 2015 ulikuja hapa Kunipongeza kuwa ninayo?
Hoja yako ni ya Kipumbavu sana tu.