johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa! Wabongo bila bakora hawaendi!Hahahaaa bwashee tuanze kuchapana viboko tena watu wazima na wake zetu bwashee.
Ila sometime mambo hayaendi bila upanga
Wewe unaweza kujinyonga?!Wahehe hawataki ujinga au wanahasira na jazba za kijinga😂😂😂😂 wahehe hao hao ugomvi kdg wanajinyonga!!!
Machalii wa A - town walidekezwa sana na bwashee Lema!Dc anaonekana ni mshamba na waliochapwa ni washamba tu
Imagine wamedhalilishwa kwa fimbo alafu bado watawajibika vilevile kulipaMachalii wa A - town walidekezwa sana na bwashee Lema!
Siku wakikushika tako pia hautashangaa.Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.
Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.
Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.
RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani wewe wanavyokushika hapo Ufipa huwa unawapigia makofi?Siku wakikushika tako pia hautashangaa.
Utawapigia Makofi
Una hamu na viboko???Uwezo mdogo wakufikiri . ivi lini mtachagua viongozi wanaotumia akili
Hasa viongozi bila bakora awaendiHahahaaaa! Wabongo bila bakora hawaendi!
Hahahaaaa...... Wanyalu hawatakagi upumbavu!Hasa viongozi bila bakora awaendi
Ni kweli wahehe hawatakagi ujinga lakini sidhani kama Chalamila ana akili za kutosha.Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.