Sijashangaa RC Chalamila na DC Kihongosi kuwachapa bakora wananchi, Wahehe hawatakagi ujinga!

Ndiyo maana yule wa iringa Enzi za mwalimu alimkalisha Kwa bunduki kiongozi PUMBAVU wa aina ya Hawa unaowasifia.maiti akapeleka polisi akawaambia kamchukueni mbwa wenu kwenye gari.
 
Hii Hali ikiachwa iendelee wahanga watakuwa wengi kweli, ni vizuri mtu Kama kakosea Basi afikishwe mahakamani kuliko kudhalilishana watu wazima, kutandikana bakora watu wazima sio haki kabisa
 
Hivi suluhisho zuri na la kudumu ni Kuwachapa Watu Viboko au Mamlaka husika Kusimamia ile Misingi mizuri ya Nidhamu na Maadili iliyotupotea?
 
Dc anaonekana ni mshamba na waliochapwa ni washamba tu

Hakika.

Achilia mbali ushamba wa DC.

Waliochapwa hawakupaswa kukubali kuchapwa.

Hapa ilibidi man to man. Muda wa makabiliano ya ana kwa ana.

Kama mbwai na iwe mbwai!

Palipashwa kuchimbika vilivyo.
 
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!

Ulimbukeni, kutafuta sifa za kijinga na vyeo. Udhalilishaji na kukijengea chama na serikali pasipo sababu
 
Ok wahehe hawatakagi ujinga. Turudi kwenye hoja. Je ni sahihi kwa kenani na chalamila kuwachapa wananchi viboko?
 
JPM hawa wanamharibia na wanayofanya hayana Baraka zake ni Kiki za kitoto JPM anawachekiiiiiiii hiiii atawafyeka waendelee tu
 
Ok wahehe hawatakagi ujinga. Turudi kwenye hoja. Je ni sahihi kwa kenani na chalamila kuwachapa wananchi viboko?

Hawana uhalali ni Kiki za kitoto haya mambo yaliisha 9 dec 1961 au hukumu ya mahakama
 
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!

Kwa hili hapana hapana.. We must oppose this kind of arrogance, hapana i said, najua mambo kama haya ndio yanamuumiza sana Mh. Rais, naitafika siku atamgeuka huyo Chalamila hamtaamini, this is very wrong..!!
 
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!

Sidhani kama ipo sheria inayompa mtu yoyote mamlaka ya kumchapa mtu mwingine viboko, isipokuwa mwalimu mkuu wa shule, kuchapa wanafunzi kwa mujibu wa sheria; au mahakama kutamka hukumu hiyo dhidi ya mshitakiwa, kwa mujibu wa sheria husika!
 
Back
Top Bottom