Sijashangaa RC Chalamila na DC Kihongosi kuwachapa bakora wananchi, Wahehe hawatakagi ujinga!

Sidhani kama ipo sheria inayompa mtu yoyote mamlaka ya kumchapa mtu mwingine viboko, isipokuwa mwalimu mkuu wa shule, kuchapa wanafunzi kwa mujibu wa sheria; au mahakama kutamka hukumu hiyo dhidi ya mshitakiwa, kwa mujibu wa sheria husika!
Enzi za Kikwete DC Albert Mnali aliwachapa walimu viboko na kibarua chake kikaota nyasi hapo hapo!
 
Mwambie asije kujichanganya kwa wengine sisi tutagawana majengo ya serikali. Unichape viboko nakuangalia?
 
Natamani ahamishiwe huku kwetu kanda maalum halafu aje atuchape viboko kama vile sisi ni watoto wake.
 
Utawala wa sheria haupo tena Tz, Katiba na sheria mbalimbali zimekuwa zikivunjwa waziwazi. Jiwe amekuwa mfano mbaya sana kwa wenzie.

JESUS IS SAVIOR!
 
Kuna mambo yanasikitish sana, though binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Hi
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Hili Jambo sio la kuchekea litakujatokea tukio moja mtashangaa
 
Kazi ya DC sio kuchapa wananchi viboko,

Arejee tena majukumu yake..
 
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Dr. Kileluu
 
Huwa nashangaa sana Magu anapoishia kuwatukana tu mawaziri wake,

Hivi huwa anashindwa nini kuigiza mzigo wa fito pale Chamwino na kuwacharaza tena TBC ikiwa Mubashara akianza palamagamba mwaluko ili sisi wananchi wanyonge kabla hatujanyongwa tuzidi kumkubali.......!
 
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Hao ni vichaa wa milembe kabisaaa , kwani sheria za makosa ya jinai zina kazi gani ? Zinasimamiwa na DC , RC au mahakama ? .Na wewe unashabikia uvunjaji wa sheria unionyesha Ni jinsi gani ulivyo empty head tabulalasa kwelikweli , like father like son .
 
Back
Top Bottom