Chosen man
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 543
- 755
Soma historia vizuri usikariri, wangekuwa ni watu wa kujinyonga si wangekuwa wameisha.Wahehe hawataki ujinga au wanahasira na jazba za kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wahehe hao hao ugomvi kdg wanajinyonga!
Wewe endelea kushabikia Mataahira.Kwani wewe wanavyokushika hapo Ufipa huwa unawapigia makofi?
Kama wewe wanavyokutia hapo Ufipa!Wewe endelea kushabikia Mataahira.
Kuna siku watakutia Kidole, sio cha Macho
Hahahaaaa......!Ni kweli wahehe hawatakagi ujinga lakini sidhani kama Chalamila ana akili za kutosha.
Endelea kujichetua tuKama wewe wanavyokutia hapo Ufipa!
kwa hiyo wanafunzi sio watu?Ametumia mamlaka gani kufanya alichokifanya! Amewatweza utu wao. Anastahili kushtakiwa.
Baod unaweweseka tu?uchaguzi umekwisha utapata kisukari kwa kuwaza uchaguziWakawatandike viboko na wale waliovuruga na kuhujumu uchaguzi.
Dc anaonekana ni mshamba na waliochapwa ni washamba tu
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.
Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.
Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.
RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.
Maendeleo hayana vyama!
Ok wahehe hawatakagi ujinga. Turudi kwenye hoja. Je ni sahihi kwa kenani na chalamila kuwachapa wananchi viboko?