johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Enzi za Kikwete DC Albert Mnali aliwachapa walimu viboko na kibarua chake kikaota nyasi hapo hapo!Sidhani kama ipo sheria inayompa mtu yoyote mamlaka ya kumchapa mtu mwingine viboko, isipokuwa mwalimu mkuu wa shule, kuchapa wanafunzi kwa mujibu wa sheria; au mahakama kutamka hukumu hiyo dhidi ya mshitakiwa, kwa mujibu wa sheria husika!
Kanda ipi hiyo?Natamani ahamishiwe huku kwetu kanda maalum halafu aje atuchape viboko kama vile sisi ni watoto wake.
TRRKanda ipi hiyo?
Hili Jambo sio la kuchekea litakujatokea tukio moja mtashangaaIkumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.
Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.
Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.
RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.
Maendeleo hayana vyama!
Dr. KileluuIkumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.
Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.
Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.
RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.
Maendeleo hayana vyama!
Wataje watatu!Eti wahehe hawataki ujinga,wakati wapo wengi tu wajinga
Hao ni vichaa wa milembe kabisaaa , kwani sheria za makosa ya jinai zina kazi gani ? Zinasimamiwa na DC , RC au mahakama ? .Na wewe unashabikia uvunjaji wa sheria unionyesha Ni jinsi gani ulivyo empty head tabulalasa kwelikweli , like father like son .Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.
Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.
Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.
RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.
Maendeleo hayana vyama!
Yierewiiiiiii!Mchaga akitandikwa kiboko huwa analiaje?