MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Ndio utaratibu huo?Wahoji nn sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupeeee
Hatuna. Tuna wasaka tonge, waoga, na wanafiki. Mayalla atakupotosha, muache mbali.Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!
Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?
cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
usikute huyo ni mwandishi wa habari mkubwa tuohh masikini, hii reasoning ya mataga ni kama mtu amekatwa kichwa.
Hivi wewe mwanamke zinakutosha kweli?Wahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
Wewe mlamba viatu unatumiwa kama kondomu!Wahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
Mkuu wanaogopa kufail mtihani maana majibu mpaka upewe na aliyeko juu bla hivyo wanakuwa hawako tayari kujibu nje ya mapenzi ya aliyeko juu.Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!
Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?
cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Wahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
Huo ndio uhuru wa habari, ambao siku alipohutubia Bunge, Jiwe alijisifu kuwa ameuimarisha na (hasa) wasomi wa CCM wakashangilia sana kila mmoja akijitahidi Jiwe amwone ana 'FURAHA'.Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!
Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?
cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Mkuu kwa hiyo aliyemhoji hata hajauliza majina yamemfikia vipi yeye spika na utaratibu hadi majina yamfikie ni upi?Jana watu wa Azam walimhoji Spika Ndugai - kama kawaida yake kuporomosha maneno yasiyo na staha kwamba kina Mnyika na viongozi wenzake wanawaonea gere wenzao sababu wao hawakupata Ubunge na kwamba Viti Maalum ni takwa la kikatiba kwa nini CHADEMA wanawabania wanawake? Akahitimisha kusema hao ni Wabunge wafanye vikao vyao vya majungu ila haitabadilisha kitu chochote as long as yeye ndiye Spika na ndiye aliyewaapisha basi hao ni Wabunge...haya ndiyo yalikuwa majibu ya Spika wetu wa Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Zinamtosha sana tena kuzidi hata weweHivi wewe mwanamke zinakutosha kweli?