Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge.

Hivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo

Waandishi wanaogopa sana yale yalomkuta Azory Gwanda wa Mwananchi na Mwaibalile wa CH-10
 
Back
Top Bottom