Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Huko mbali, mrushie corolla altis tu ina top speed 240km/h na comfo yake ataenda kusimulia... halafu bei kitonga kwa mjeru huo utamu kuupata inabidi ujipange..



Huyu ni mjapani ila mwenye standard ya wazungu.

Mostly ikizingua gearbox kuna chance ya kuvisha gearbox ya kijapani...

Mfano, kuna RX330 nyingi sana humu road ambazo zilizingua gearbox mtu akaamua kuvua engine na gearbox(1mz engine na u151 gearbox) akavisha vya harrier(2az engine na u141e gearbox).
 
Mnaopenda ligi nawaletea mnyama huyu mfukuzane naye🐒

View attachment 2461271


Mkuu bila shaka hio ni chiron, hio utawanyanyasa autobhan lakini kwa Tanzania ukitaka watu wakuonee mwezini chukua mnyama RAM Hennessy Mammoth 1000, chuma ina HP 1000, halafu lilivyo juu sasa utakubali, hili bumps linafukia tu.
Ni bonge moja ya chuma imekwenda hewani lakini ligi zake Lamborghini ikiwa ya kizembe haina nafasi hapo.


Chuma lina vurugu sana.... Yani hili kupanda bumps na 140 ni kawaida...




Kuna hao jamaa wanaitwa heneessy wanazi mod hizi gari, balaa tupu.
 

Kwani gearbox iliyopo humu ni ya mzungu?
 
Hilo mkuu inabidi sasa uongozane kabisa na msafara ule unaosema kuna abnormal wide load inapita maana unaweza kuparamia baby walker ya mtu ukajua umevuka tuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…