Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani


Try comprehension my guy, I'm losing hair over here. Sifa kuu ya udereva ni umakini. Umakini wa kujitambua mazingira, nyakati, na aina ya chombo. Barabara huijui, ila unaenda kwa spidi ni kukosa umakini.

Again, sijalinganisha magari popote pale.
 
Badala ya kununua harrier na ukiwa speed ikakumaliza tafuta discover 3 kwa bei hiyohiyo unapata na pia Kuna bmw X5 na X5 zote Zina ubora kuzidi harrier
 
Lexus RX300 RX350 etc
Hybrid means, it's powered by petrol and electric motor.
Low speed electric (0-60ish)
High speed(60+)petrol engine kicks in
Asante sana nimeelewa maana ya hybrid.

Sasa kwahiyo ni ya kuchaji kama EV's nyingine au inachajiwa na dynamo inayozungushwa na engine ya gari?
 
Ni kama mie nilivyokuwa addicted na Hatchback
 
Kama mark x, unaweza kufika 180km/hr bila ya kufahamu kuwa upo speed hiyo. Gari ikiwa na stability kubwa ndivyo umakini wa dereva unabweteka.
 
Asante sana nimeelewa maana ya hybrid.

Sasa kwahiyo ni ya kuchaji kama EV's nyingine au inachajiwa na dynamo inayozungushwa na engine ya gari?
Engine ya petrol ikizungusha inachaji ya umeme.
 
Hiyo USV ndo ulitaka kumaanisha SUV?😅😅 au kuna gari aina ya USV
 
Hutaki kuburuza makalio mkuu
 
Suv ina advantage gani zaidi ya ground clearance? Hizi suv za mchongo harrier,rav4 msiziweke kwenye proper suv akina lc. Hizi kwenye barabarani korofi kidogo tu hazitoboi kama sedan tu.
Kibongo bongo crossover tunaita SUV halafu tunaiweka kwenye class sawa na proper SUVs
 
Hapo kwenye SUV / Crossover, RAV4 ni crossover
 
Mkuu unatumia usafiri wa aina gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…