mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Mbona mnamshambulia mtoa mada? Hoja yake ipo very clear, kwamba hawa omdulmani inakuwaje wapo miongoni mwa timu zenye rank ya juu caf wakati uchezaji wake haueleweki??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni timu nzuri sijakataa, ninachosema ni style ya uchezaji wake ndiyo sijaielewa na wamekuwa hivyo walau misimu hii mitatu ya hivi karibuni. Ni wagumu kufungika ila nao pia hawachezi kama wanaweza kupata goli 2 ndani ya dakika 90.Walikua na Timu nzuri Zama zile wanaitoa yanga ya nani Ile Al hilal yenye Mohamed Abdelrahman Makabi Lilepo Vidinho Ibram Imoro ISSA Fofana Abagua David na wengineo ilikua Bora ila baada ya vita wachezaji wameikimbia timu imebomoka hapa ibenge anahangaika kuisuka upya na hawa wachezaji wake wapya kina Serge pokou Adam Coulibaly ila sio timu mbovu hiii nakuhakikishia sio mbovu katazame msimamo wa ligi kuu Mauritania ndio utakuja kuamini
Kombe la shirikisho lilinajisiwa na timu zilizoshiriki msimu wa 2022-23. Msimu huu unaona kabisa baadhi ya mechi za shirikisho, hasa za Simba zina mvuto kuliko zile za CAFCL hasa za Deportivo de Utopolo.Simba ya mashindano ya akina mama
Uto kwenye Moja na mbiliHakuna anayekubaliana na wewe katika hili.
Kwani simba sc wanaeleweka..uchezaji wao ni kama wa al hilalHili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.
Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu...
Mda mrefu tokea lini?Kama nilivyosema katika bandiko langu, nimewaza hivi muda mrefu sana, sikuwahi tu kupata msukumo wala nafasi ya kulisema hili. Hata misimu miwili iliyopita walipoitoa Yanga sikuwa nawaelewa.
Ni kweli ni timu fulani ngumu hivi. Inacheza objective football.Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.
Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan...
Halafu tukishakubaliana, nini kitatokea!Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.
Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni moja ya timu kubwa ila sijawahi kuwaelewa kabisa, hasa katika miaka ya hivi karibuni.
Ni timu ambayo ukiwa unaitazama inapocheza hauoni ni jinsi gani watapata goli wakati huo huo nao hawafungiki kirahisi sana ingawa siyo kwamba wana defense nzuri kihiiivyo. Unaweza kuwalinganisha na uchezaji wa Taifa Stars kwa sasa.
Wangapi wanakubaliana na mimi katika hili?
Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Acha kuwatisha Utopolo....Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.
Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni moja ya timu kubwa ila sijawahi kuwaelewa kabisa, hasa katika miaka ya hivi karibuni.
Ni timu ambayo ukiwa unaitazama inapocheza hauoni ni jinsi gani watapata goli wakati huo huo nao hawafungiki kirahisi sana ingawa siyo kwamba wana defense nzuri kihiiivyo. Unaweza kuwalinganisha na uchezaji wa Taifa Stars kwa sasa.
Wangapi wanakubaliana na mimi katika hili?
Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
😀😀😀Hakuna anayekubaliana na wewe katika hili.
Mnajitisha nyie, kaeni nyuma ya spika msikilizie mdundo wa Yanga.
Umeongea ki-professional ambao ni mashabiki wachache sana wa simba wanaweza ongeaKama nilivyosema katika bandiko langu, nimewaza hivi muda mrefu sana, sikuwahi tu kupata msukumo wala nafasi ya kulisema hili. Hata misimu miwili iliyopita walipoitoa Yanga sikuwa nawaelewa.