Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Naungana na wewe, Tena imekuwa kama umeniwahi mkuu.
Ni timu isiyoeleweka kama ni nzuri au mbaya. Wanacheza mpira mgumu kuwaelewa.
Ni wagumu sana kuwafunga magoli mengi, wanakaba kwa wingi na kwa ushirikiano wa Hali ya juu, wanashambulia kwa Kasi kwa kujikata makundi ya mfumo wa 4-2-3-1 au 4-2-2-2 yaani wanajibalansi kulinda na kukushambulia.
Jiulize pamoja na misuko suko wanayopitia nchini kwao wamefanya pre-season ya kuungaunga ila bado ni timu ngumu isiyoeleweka kama ni kibonde au giant😂
Ibenge ni masterpiece sana!