Sijawahi kuielewa timu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan

Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.

Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni moja ya timu kubwa ila sijawahi kuwaelewa kabisa, hasa katika miaka ya hivi karibuni.

Ni timu ambayo ukiwa unaitazama inapocheza hauoni ni jinsi gani watapata goli wakati huo huo nao hawafungiki kirahisi sana ingawa siyo kwamba wana defense nzuri kihiiivyo. Unaweza kuwalinganisha na uchezaji wa Taifa Stars kwa sasa.

Wangapi wanakubaliana na mimi katika hili?

Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Hawa kama Coastal tu
 
Kwa kweli sikumuelewa alichomaanisha

Kiukweli sikuelewa ulichokuwa umeandika maana hauna muelekeo na mada iliyopo. KIukweli nimeshindwa kuielewa post yako kiujumla.
Tunawajua nyie timu kabla haijacheza na Yanga ni kali ila ikishafungwa mnaiita ya hovyo.
 
Huijui eeee....na alishawahi mtia Yanga yenu Bado huijui eee.....endelea sawa mrembo wake p Diddy??......utamjua TU akikupaka mafuta fala ww na wengine mafala km ww
 
Tunawajua nyie timu kabla haijacheza na Yanga ni kali ila ikishafungwa mnaiita ya hovyo.
Ndiyo maana jamaa anakushangaa mbona umejibu kitu tofauti kabisa na mada maana sijasema kama hao Al Hilal ni wabovu au ni timu kali ila kwa kujihami wewe umekuja na habari za Yanga ambazo hata hazihusiani.

Mara moja moja tujaribu kuongea mpira bila kuingiza ukereketwa.
 
Naungana na wewe, Tena imekuwa kama umeniwahi mkuu.
Ni timu isiyoeleweka kama ni nzuri au mbaya. Wanacheza mpira mgumu kuwaelewa.

Ni wagumu sana kuwafunga magoli mengi, wanakaba kwa wingi na kwa ushirikiano wa Hali ya juu, wanashambulia kwa Kasi kwa kujikata makundi ya mfumo wa 4-2-3-1 au 4-2-2-2 yaani wanajibalansi kulinda na kukushambulia.

Jiulize pamoja na misuko suko wanayopitia nchini kwao wamefanya pre-season ya kuungaunga ila bado ni timu ngumu isiyoeleweka kama ni kibonde au giant😂

Ibenge ni masterpiece sana!
Sahihi kabisa
 
Ndiyo maana jamaa anakushangaa mbona umejibu kitu tofauti kabisa na mada maana sijasema kama hao Al Hilal ni wabovu au ni timu kali ila kwa kujihami wewe umekuja na habari za Yanga ambazo hata hazihusiani.

Mara moja moja tujaribu kuongea mpira bila kuingiza ukereketwa.
Mimi huyo jamaa simjui ila ww nakujua kwenye thread nyingi za Yanga kupitia mechi zilizopita ndio maana na kwambia uongee hivyo hivyo baada ya mechi za Yanga.

Kichwani mwako umeweka historia ndio yale yale ya Kipindi kile na Mazembe baadae mkaumbuka. Sasa tuongee mpira,Sudan baada ya machafuko nchini kwao wamedrop sana, na hili najua utalikataa, ila vilabu vyao vinapitia wakati mgumu kila mtu anaona.Nisawa ulingaishe Shaktar Donesk ya kipindi kile na hii ya sasa baada machafuko Ukraine halafu useme zote ni sawa,labda kama unataka kutia ugumu mechi ya Yanga.

Ila kazi mnayo nyie mnacheza na timu msizo zijua, inaweza ikawa faida kama kweli wakiwa kawaida,ila wakiwa suprise mtakuwa na hali mbaya.
 
Wakati naleta huu Uzi sikuwa nawaza kabisa habari za Yanga wala Simba. Sielewi kwa nini hautaki kukubali ninaposema huu mtazamo nimekuwa nao kipindi kirefu maana Yanga ilicheza mechi yake na Al Hilal nyumbani kwao Sudan kabla ya machafuko. Ukiniuliza mimi nitakwambia miaka yote El Mereikh nimekuwa nawaelewa kuliko Al Hilal kama ambavyo nimekuwa nauelewa zaidi mpira wa Raja kuliko wa Wydad. Huo wote ni mtazamo wangu binafsi.

Kubali umeboronga, post yako haieleweki. Hata nikirudi sasa kuisoma tena bado haieleweki. Hatujui ulikuwa unataka usema nini. Mimi nikileta mada sipindishi maneno, nyeupe nasema nyeupe, nyeusi nasema nyeusi. Hao Al HIlal nimesema sijawahi kuwaelewa, sijasema ni wabovu au wazuri, sasa hoja yako kuwa unatunza risiti inaingiaje?
 
Wakati naleta huu Uzi sikuwa nawaza kabisa habari za Yanga wala Simba. Sielewi kwa nini hautaki kukubali ninaposema huu mtazamo nimekuwa nao kipindi kirefu maana Yanga ilicheza mechi yake na Al Hilal nyumbani kwao Sudan kabla ya machafuko.

Kubali umeboronga, post yako haieleweki. Hata nikirudi sasa kuisoma tena bado haieleweki. Hatujui ulikuwa unataka usema nini. Mimi nikileta mada sipindishi maneno, nyeupe nasema nyeupe, nyeusi nasema nyeusi. Hao Al HIlal nimesema sijawahi kuwaelewa, sijasema ni wabovu au wazuri, sasa hoja yako kuwa unatunza risiti inaingiaje?
Kuboronga vipi huu mtizamo kwa nini huku uleta kabla ya Yanga kupangiwa na Al Hilal?Huu ndio unazi wenu ambao badae unakuja kuwaaumbua.

Wewe si umesema tuongelee mpira,mimi nimekurudisha nyuma ya Al Hilal ya kabla ya machafuko na hii ya sasa na nikakuongezea nyingine ya Shaktar.

Yaani Al Hilal ile na hii ni sawa ? Halafu ndio unasema tuongelee mpira....... 5imba mnatabu sana.
 
Itakuwa droo ya leo imekuvuruga si bure. Unajua kuna mada ngapi huwa nataka kuzileta ila naamua kuzikaushia?

Hapo juu umeniuliza tangu lini nimekuwa na mtazamo huo nikakwambia walau misimu mitatu na hapo juu nimesema KWA MTAZAMO WANGU mpira wao wa misimu mitatu nyuma wakati wanaitoa Yanga ndiyo mpira huu huu wanaocheza sasa kilichobadilika kinaweza kuwa ubora wa wachezaji ila STYLE ni ile ile.
 
Soma hii post nilichosema mwaka jana kuhusu Al Hilal

Al Hilal wanajuaga kudefend ila hawajui kufunga magoli. Swali wanaweza kushikiria bomba dakika 90?
 
Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.

Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni moja ya timu kubwa ila sijawahi kuwaelewa kabisa, hasa katika miaka ya hivi karibuni.

Ni timu ambayo ukiwa unaitazama inapocheza hauoni ni jinsi gani watapata goli wakati huo huo nao hawafungiki kirahisi sana ingawa siyo kwamba wana defense nzuri kihiiivyo. Unaweza kuwalinganisha na uchezaji wa Taifa Stars kwa sasa.

Wangapi wanakubaliana na mimi katika hili?

Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Hii timu ndio zile zinaitwa underdogs means hawana jinakubwa ila Ibenge ameijenga kucheza kimashindano hata ilipocheza kombe la kagame hakuna aliekua anawaelewa ila wanacheza kimkakati sana tena mno,kaptaini wao ni moja ya viungo washambuliaji bora huku akilipwa mshahara mkubwa mno,walienda waarabu wamchukue jamaa akaongezewa mpunga akabakia walewanaishi km ndugu siwachezaji mpk Kwa kocha wao sbb ya vita,km unaamgalia Belgium/france wanavyocheza ndio hii timu kwakua Ibenge amejifunza mengi toka Kwa hao watu.
Huwaoni lkn wapo makundi,kingine wanampunga sana.
 
Itakuwa droo ya leo imekuvuruga si bure. Unajua kuna mada ngapi huwa nataka kuzileta ila naamua kuzikaushia?

Hapo juu umeniuliza tangu lini nimekuwa na mtazamo huo nikakwambia walau misimu mitatu na hapo juu nimesema KWA MTAZAMO WANGU mpira wao wa misimu mitatu nyuma wakati wanaitoa Yanga ndiyo mpira huu huu wanaocheza sasa kilichobadilika kinaweza kuwa ubora wa wachezaji ila STYLE ni ile ile.
Yaani hii Droo ivuruge Yanga? Labda wewe na watoto wenzako huko shirikisho.

Style ile ile ipi? Mpira ule ule upi? Chambua mpira kwa takwimu,wewe timu hata ligi yao inastrugle,hata msimamo wenyewe wa ligi yao sijui unahusisha timu ngapi au kwakuwa walidroo na nyie mnazani kwa Yanga itakuwa hivyo hivyo.
 
Hii timu ndio zile zinaitwa underdogs means hawana jinakubwa ila Ibenge ameijenga kucheza kimashindano hata ilipocheza kombe la kagame hakuna aliekua anawaelewa ila wanacheza kimkakati sana tena mno,kaptaini wao ni moja ya viungo washambuliaji bora huku akilipwa mshahara mkubwa mno,walienda waarabu wamchukue jamaa akaongezewa mpunga akabakia walewanaishi km ndugu siwachezaji mpk Kwa kocha wao sbb ya vita,km unaamgalia Belgium/france wanavyocheza ndio hii timu kwakua Ibenge amenifunza mengi toka Kwa hao watu.
Huwaoni lkn wapo makundi,kingine wanampunga sana.
Hapo timu zote tatu zilizopangwa na uto hamna timu maskini au ambayo utamuhadaa mchezaji kuwa utamsajili kama walivyofanya kwa Medeama kipindi kile. Wanashangilia ila najua ndani ya mioyo yao wanaogopa.
 
Yaani hii Droo ivuruge Yanga? Labda wewe na watoto wenzako huko shirikisho.

Style ile ile ipi? Mpira ule ule upi? Chambua mpira kwa takwimu,wewe timu hata ligi yao inastrugle,hata msimamo wenyewe wa ligi yao sijui unahusisha timu ngapi au kwakuwa walidroo na nyie mnazani kwa Yanga itakuwa hivyo hivyo.
Kwa hiyo mnaenda kuwapiga nje ndani siyo?
 
Hapo timu zote tatu zilizopangwa na uto hamna timu maskini au ambayo utamuhadaa mchezaji kuwa utamsajili kama walivyofanya kwa Medeama kipindi kile. Wanashangilia ila najua ndani ya mioyo yao wanaogopa.
Mashabiki wa Makolo wanaona aibu kuongelea timu lao linaloshiroki mashindano ya akina mama

Wako busy na Yanga ya CAFCL
 
Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.

Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni moja ya timu kubwa ila sijawahi kuwaelewa kabisa, hasa katika miaka ya hivi karibuni.

Ni timu ambayo ukiwa unaitazama inapocheza hauoni ni jinsi gani watapata goli wakati huo huo nao hawafungiki kirahisi sana ingawa siyo kwamba wana defense nzuri kihiiivyo. Unaweza kuwalinganisha na uchezaji wa Taifa Stars kwa sasa.

Wangapi wanakubaliana na mimi katika hili?

Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Wanachezesha majini
 
Back
Top Bottom