Ibenge robo fainal ya CAF championship ni kama imemshinda tokea akiwa AS VITA kidogo confederation anafikaga mbaliNaungana na wewe, Tena imekuwa kama umeniwahi mkuu.
Ni timu isiyoeleweka kama ni nzuri au mbaya. Wanacheza mpira mgumu kuwaelewa.
Ni wagumu sana kuwafunga magoli mengi, wanakaba kwa wingi na kwa ushirikiano wa Hali ya juu, wanashambulia kwa Kasi kwa kujikata makundi ya mfumo wa 4-2-3-1 au 4-2-2-2 yaani wanajibalansi kulinda na kukushambulia.
Jiulize pamoja na misuko suko wanayopitia nchini kwao wamefanya pre-season ya kuungaunga ila bado ni timu ngumu isiyoeleweka kama ni kibonde au giantπ
Ibenge ni masterpiece sana!
Ligi dhaifu haiwezi kutoa semi finalists kirahisi. Hata sisi Tanzania bado ushindani wa league yetu ni mdogo ukilinganisha na nchi zenye ushindani mkubwa kama Morocco, Egypt, Tunisia, Algeria, south Africa na Congo DR ( miaka ya kadhaa nyuma).Ibenge robo fainal ya CAF championship ni kama imemshinda tokea akiwa AS VITA kidogo confederation anafikaga mbali
CAF championship inahitaji hesabu kali sana
Msimu uliopita kuna wamama wa jangwani walituwakilisha piaWaongelee basi kidogo
Simba wanaoshiriki kombe la akina mama
Mashindano ambayo Mama mkuu ana medali ya mshindi wa pili π πLakini wako mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda
utumbo uliouandika hapa hata hauendani na alichokiandika mleta mada.Baadae wakipigwa utayakataa maneno yako,tushawazoea na sababu wanacheza na Yanga.Uzuri JF wanatunza risiti.
Simba ya mashindano ya akina mamaMashindano ambayo Mama mkuu ana medali ya mshindi wa pili π π
Umeandika upuuzi huja andikiwa wewe unaparamia.utumbo uliouandika hapa hata hauendani na alichokiandika mleta mada.
viongozi wakubwa wa simba ni wawili tu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi "MO" na mwenyekiti wa simba sc mangungu je kaduguda ni nani? kama shirikisho ni kombe la kina mama maana yake wakina kibu watacheza na mama ako?Ni kiongozi mkubwa pale Simba
Vip hayo mashinda ya akina mama ambayo Simba anashiriki yanaanza lini
kama shirikisho ni kombe la kina mama maana yake ateba atacheza na mama ako? Je ateba akibaki na mama ako tu unadhani itakuwaje?Ndiyo tuongelee Simba wanaocheza kombe la akina mama
Leo umeichambua sana Yanga
Sasa Chambua Chama lako la makolo
Nenda CAF msuse kama hamtaki mashindano ya akina mamaviongozi wakubwa wa simba ni wawili tu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi "MO" na mwenyekiti wa simba sc mangungu je kaduguda ni nani? kama shirikisho ni kombe la kina mama maana yake wakina kibu watacheza na mama ako?
Wenye medali ni mashangazi π πSimba ya mashindano ya akina mama
Mbona Leo hamtaki kuiongelea
Au Simba Leo hajapewa group
Makolo wote marufuku kuongelea CAFCL
Uzuri mwaka huu ni wa kulipa visasi tu, tulianza na yule tutamaliza na huyu, wala uspate tabu, yanga haifungwi mara mbili, na uzuri mwingine wapo wawili pia kundiniKama nilivyosema katika bandiko langu, nimewaza hivi muda mrefu sana, sikuwahi tu kupata msukumo wala nafasi ya kulisema hili. Hata misimu miwili iliyopita walipoitoa Yanga sikuwa nawaelewa.
Kwa kweli sikumuelewa alichomaanishautumbo uliouandika hapa hata hauendani na alichokiandika mleta mada.
Kiukweli sikuelewa ulichokuwa umeandika maana hauna muelekeo na mada iliyopo. KIukweli nimeshindwa kuielewa post yako kiujumla.Umeandika upuuzi huja andikiwa wewe unaparamia.
Simba jaribu kujadili mashindano yenu ya akina mamaWenye medali ni mashangazi π π
ndio maana na mimi nikakuuliza je kibu atacheza na mama ako? Kama wale walibya walifanywa vile je mama atafanywaje?Nenda CAF msuse kama hamtaki mashindano ya akina mama
Akina mama wanacheza na akina mama wenzaondio maana na mimi nikakuuliza je kibu atacheza na mama ako? Kama wale walibya walifanywa vile je mama atafanywaje?