Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Dah ila swala la wew kutomsanua mstaafu aweke tahadhari mim imenikata stim. namiona mstaafu anavyopatwa na shambulio la moyo na magonjwa nyemelezi
Imekukataje stimu? Mkubwa.

Unaambia kama una sikio la kufa basi tena ndio hivyo dawa hutoisikia.

Ndiyo huyo mstaafu sasa,

Sioni kosa la jamaa hapo.
 
No one went to help au of help? Anyway possibly people thought he was a mad man and by the way kule ni sehemu ambayo people are so busy. Huwezi pigwa na watu wanne sehemu yenye polisi then wakuteke ibaki hivyo hivyo. Sema kwenye kunogesha story unaweka tu wasomaji wenyewe wengi vilaza hawajielewi. Unapopata nafasi ya kutunga uwe makini.
Njomba nchumari chacha umeanza matusi, hadi mimi ni kilaza? We mzee wa pinga pinga nakumbuka kwa Umughaka ulifanya hivyo hivyo.
 
Juzi jumamosi maeneo ya buguruni chama, ukilivuka tu daraja la treni, kuna jamaa muokota makopo aligongwa na bodaboda. Alistrugle pale hadi akafa, no one went of help. Nilipita around saa moja nikiwa ndani ya gari, nikakuta ameshakufa, raia walichofanya ni kumfunika tu. Trafk yupo anaita magari tu ili kupunguza foleni.

Raia wapo, askari wapo, wenye magari na usafiri wapo, ila yule jamaa alikufa wanamuangalia. Sembuse kupigana? [emoji28][emoji28][emoji28]
Watu Wana wivu Hadi na story za analyse .
Wanatamani wawe wao mwee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dah ila swala la wew kutomsanua mstaafu aweke tahadhari mim imenikata stim. namiona mstaafu anavyopatwa na shambulio la moyo na magonjwa nyemelezi
Mstaafu alipewa ishara zote ila hakutaka kuzielewa ujue angekua Mtu mjanja angeshtukia mchezo mapema sana
 
Analyse Kijiji kinaitwa USOKAMI sio USOKANI. Nitafuatilia story yako mwisho maana kuna ujumbe wa kujifunza kwa sisi vijana watafutaji. Unaweza kuwa ndugu yangu Analyse
Karibu na Kibengu kuelekea Mapanda na Kipanga achilia mbali Mwatasi kwa pembeni
 
Back
Top Bottom