Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Dah ila swala la wew kutomsanua mstaafu aweke tahadhari mim imenikata stim. namiona mstaafu anavyopatwa na shambulio la moyo na magonjwa nyemelezi
Imekukataje stimu? Mkubwa.

Unaambia kama una sikio la kufa basi tena ndio hivyo dawa hutoisikia.

Ndiyo huyo mstaafu sasa,

Sioni kosa la jamaa hapo.
 
Njomba nchumari chacha umeanza matusi, hadi mimi ni kilaza? We mzee wa pinga pinga nakumbuka kwa Umughaka ulifanya hivyo hivyo.
 
Watu Wana wivu Hadi na story za analyse .
Wanatamani wawe wao mwee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dah ila swala la wew kutomsanua mstaafu aweke tahadhari mim imenikata stim. namiona mstaafu anavyopatwa na shambulio la moyo na magonjwa nyemelezi
Mstaafu alipewa ishara zote ila hakutaka kuzielewa ujue angekua Mtu mjanja angeshtukia mchezo mapema sana
 
Analyse Kijiji kinaitwa USOKAMI sio USOKANI. Nitafuatilia story yako mwisho maana kuna ujumbe wa kujifunza kwa sisi vijana watafutaji. Unaweza kuwa ndugu yangu Analyse
Karibu na Kibengu kuelekea Mapanda na Kipanga achilia mbali Mwatasi kwa pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…