Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

@Analyse ... Aposto umekua digidigi [emoji23]
 
Yawezekana zikafanyika, ila siunajua kila mtu na technic yake. Hata kwenye mpira na mziki kuna ambao wapitia kwa wataalam. Japo sisi tunaamini vile ni vipaji πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenitoa usingizini mkuu. Unaweza kuwa punda na hujui.
 
Imekukataje stimu? Mkubwa.

Unaambia kama una sikio la kufa basi tena ndio hivyo dawa hutoisikia.

Ndiyo huyo mstaafu sasa,

Sioni kosa la jamaa hapo.
Kosa la jamaa lipo....yeye ndo alikua muamuzi wa mwisho km bimkubwa atapeliwe ama Lah...alipozingua kule site mara ya mwisho alitakiwa achague upande(permanently),coz anayo namba ya bimkubwa,alipaswa amsanue,coz alijua kabisa bimkubwa amesha 'lay' trust kwake,so alijua kabisa akiwaachia wale wazee wampige mstaafu msala utamwangukia
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Waandishi wa vitabo wapo wengi tu, ila wanachoma hela kwenye utayarishaji na uchapishaji alaf wasomaji, wanunuzi wanaingia mitini. Wasomaji wengi wanataka Bure kama hivi mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwenye story ya mwanzo uliishia form four Hadi kipindi cha magu uko songea unalima...story hii umeendelea form six then chuo...umemaliza uko ktaa unapambana ni almost miaka 5 mbona time frame ya matukio haiconnect mkuu
 
Kwenye story ya mwanzo uliishia form four Hadi kipindi cha magu uko songea unalima...story hii umeendelea form six then chuo...umemaliza uko ktaa unapambana ni almost miaka 5 mbona time frame ya matukio haiconnect mkuu
Wewe ndio hauconnect matukio vizuri mkuu, unadeal na heading to. Mzizi wa ile story ilikuwa Mimi kudrop form four na kuingia kitaa, ila niliweka matukio menginea ambayo yalishawahi tokea, ili kusindikiza lengo la simulizi. Ila sikumaanisha mpaka moment naiandika nilikuwa form 4, ungesoma kwa makini, kwenye ile story kuna habari za chuo pia.

Kama ambavyo msingi wa story hii, nilitaka kusimulia mazungumzo yangu na yule Mzee wa Kongowe, lakini story yake pekee ingekuwa fupi, ndio maana nikajumuisha na matukio mengine yaliyowahi kutokea, mfano kina Mzee Dingi.

Nenda kasome tena ile story kule. Maana maswali mnayouliza ni Yale Yale kila siku. Ukienda kwenye ile story utakuta kuna mtu anauliza habari za chuo zimetokea wapi wakati inaonesha nilikimbia shule πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Guys, humu nasimulia past. Ninachoandika now, hakimaanishi ndio current issue kwangu. Ww msomaji yawezekana usijue what next, ila Mimi tayari najua.
 
Apostoo umenichota mchanga
Aposto umenichota mchanga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…