HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Mkuu malengo ulojiwekea baada ya kukutana na mzee kesho yetu, pete ulopewa,mafuta na matumaini uliyo kuwa nayo ukisubiria dili litiki ndo namm nilikuwa nayo na ninayo mpaka leo kupitia story yako....Mtu unaweza ukawa unapigania maisha kitandani, ila huku JF wanakunanga kisa muendelezo wa story.
Dharura haina hodi mkuu, kuna siku wewe muweza wa yote utaelewa. ππ
Pmj mkuuMida yetu ile ile mkuu π π
Asante mkuu π πKaribu tena uraiani π π
Huyo Mzee alishawahi kuniambia "Hutakiwi kumuonea mtu huruma ikiwa na ww unahitaji kuhurumiwa"Nimesoma sasa...mkuu Analyse huyo mzee KY ni katili anaweza kumtoa mtu roho..daah una majambo mengi mnoo unatufundisha kwamba maisha si mepesi hata kidogo..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Mzee alishawahi kuniambia "Hutakiwi kumuonea mtu huruma ikiwa na ww unahitaji kuhurumiwa"
Alafu siku hizi ni MC [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maana nimeianza Jana usiku sahiv nipo mstari wa mbele nasubiri mpyaaAfter iftar nitakutag mkuu π
Dah haya sawaAfter iftar nitakutag mkuu [emoji28]