HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Mkuu malengo ulojiwekea baada ya kukutana na mzee kesho yetu, pete ulopewa,mafuta na matumaini uliyo kuwa nayo ukisubiria dili litiki ndo namm nilikuwa nayo na ninayo mpaka leo kupitia story yako....Mtu unaweza ukawa unapigania maisha kitandani, ila huku JF wanakunanga kisa muendelezo wa story.
Dharura haina hodi mkuu, kuna siku wewe muweza wa yote utaelewa. 🙏🙏
Kitendo cha kutopost siku ile pamoja na uhakika ulotupa dakika chache kabla kilinivua matumaini kama wewe ulivyo poteza tumaini baada ya mzee ky kukwambia hakupi kitu labda zile laki 2 tu japo dili alipiga...... So twende pole pole hisia zetu kwenye mategemeo zinafanana.