Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
- Thread starter
-
- #2,161
Hakuna issue ya kusadikika wala makosa madogo madogo. Sometime watu wanasoma, ili wapate Cha kukosoa, hali inayopelekea kuwaondolea umakini.Story iwe ya kusadikika au halisi mwandishi akimaliza kuandika lazima ipitie kwa wahariri lengo likiwa ni kurekebisha makosa mfano wa hilo uliloulizia ww
Lkn Apostle yey kaandika kingoma ngumu na kwa vile jamaa yupo vzr kiuandish bado story imekua nzuri na inaeleweka vizur tu
Kwa hiyo makosa madogomadogo mfano wa hilo uliloliona na ya kukaushia tu ukizingatia maudhui ya story yanaeleweka lkn kila mmoja akisema aulize tutamchosha mwandish
Kwa faidanya huyo jamaa uliyemquote, dada alivyonipigia cm, kuna kitu nilikisema, nilisema hivi
"Tokea nilivyowatafutaga kuwapa habari juu ya Mimi kubadilisha line, sikuwatafuta tena, na hiyo siku dada ananipigia cm ilikuwa ni zaidi ya mwezi nipo kimya"
Sasa anapotokea mtu kuuliza, nilifuta majina na kubadili line, dada alinipata vipi, unahisi huyo mtu uelewa wake upoje?. Ndio maana sometime sijibu maswali, nayaangalia tu π π π π