Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Story iwe ya kusadikika au halisi mwandishi akimaliza kuandika lazima ipitie kwa wahariri lengo likiwa ni kurekebisha makosa mfano wa hilo uliloulizia ww

Lkn Apostle yey kaandika kingoma ngumu na kwa vile jamaa yupo vzr kiuandish bado story imekua nzuri na inaeleweka vizur tu

Kwa hiyo makosa madogomadogo mfano wa hilo uliloliona na ya kukaushia tu ukizingatia maudhui ya story yanaeleweka lkn kila mmoja akisema aulize tutamchosha mwandish
Hakuna issue ya kusadikika wala makosa madogo madogo. Sometime watu wanasoma, ili wapate Cha kukosoa, hali inayopelekea kuwaondolea umakini.

Kwa faidanya huyo jamaa uliyemquote, dada alivyonipigia cm, kuna kitu nilikisema, nilisema hivi

"Tokea nilivyowatafutaga kuwapa habari juu ya Mimi kubadilisha line, sikuwatafuta tena, na hiyo siku dada ananipigia cm ilikuwa ni zaidi ya mwezi nipo kimya"

Sasa anapotokea mtu kuuliza, nilifuta majina na kubadili line, dada alinipata vipi, unahisi huyo mtu uelewa wake upoje?. Ndio maana sometime sijibu maswali, nayaangalia tu 😅😅😅😅
 
Hakuna issue ya kusadikika wala makosa madogo madogo. Sometime watu wanasema, ili wapate Cha kukosoa, hali inayopelekea kuwaondolea umakini.

Mie Kuna namba za watu wangu wa karibu Kama watatu ninazo kichwani tokea mwaka 2003. Yaani hata nikizamia meli nikakamatwa naomba niwaage kabla sijazmishwa baharini ili wajue kuwa nimekufa kwa njia iyo so wasihangaike
 
oya ujue episode ya 21 haina mvuto.. kwanza imerudia maelezo ya nyuma mengi sana.. hebu turudi kwenye harakati za mzee dingi na KY..
 
Mie Kuna namba za watu wangu wa karibu Kama watatu ninazo kichwani tokea mwaka 2003. Yaani hata nikizamia meli nikakamatwa naomba niwaage kabla sijazmishwa baharini ili wajue kuwa nimekufa kwa njia iyo so wasihangaike
Jamaa alichokuwa anajiribu kuuliza, wao walinipataje? Maana sister ndio alipiga. Sidhani hata kama alisoma vzr 😅😅
 
Huyo Mzee alishawahi kuniambia "Hutakiwi kumuonea mtu huruma ikiwa na ww unahitaji kuhurumiwa"

Alafu siku hizi ni MC [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaaa.. Analyse asante kwa hii story yako. Kuna mtu alikuwa ananizingua alifanya kazi nusu akaitelekeza nusu zaidi ya mwezi na nililipa hela yote ya ufundi na kununua materials zote almost laki 6. Nilikuwa nikimpigia hapokei meseji hajibu, Nikatumia mkwara mmoja tu wa kikatili mbona karudisha hela yote ya ufundi na materials. Tena nilituma sms tu ikamwingia vilivyo naona akaona hapa ni maji marefu kumbe hamna kitu [emoji1787][emoji23][emoji23].. Hapa nasubiria atume watu waje kuchukua vitu ambavyo alianza kunifanyia kazi.

Ubarikiwe sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Umeyataka mwenyewe mdogo wangu, sitolaumiwa kwa lolote nitakalofanya".
Nikikudai tu lazima nikutishie hivi lazima uanze kuhara maji bila hata ya kurogwa!
Hahahaha.. Mie imenisaidia nimerudishiwa almost 600,000... Tena within 10 hours wakati alikuwa ananisumbua mwezi mzima. Karudisha pesa na kuomba msamaha kwa sms tena akiwa mnyonge kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lol na kuwaliza kote watu madil makubwa kaja kuwa mc?so pesa ya utapel haidumu mweh,nikajua ashajiwekeza mabiashara kadhaa anakula Bata mjini 🤣🤣
Yule jamaa sijawahi kumuamini. Kwanza hiyo siku niliyokutana nae tena, alinikataa kata kata kuwa hatujuani. Ila baadae tukapiga story kidogo 😅😅😅
 
Hahaaa.. Analyse asante kwa hii story yako. Kuna mtu alikuwa ananizingua alifanya kazi nusu akaitelekeza nusu zaidi ya mwezi na nililipa hela yote ya ufundi na kununua materials zote almost laki 6. Nilikuwa nikimpigia hapokei meseji hajibu, Nikatumia mkwara mmoja tu wa kikatili mbona karudisha hela yote ya ufundi na materials. Tena nilituma sms tu ikamwingia vilivyo naona akaona hapa ni maji marefu kumbe hamna kitu [emoji1787][emoji23][emoji23].. Hapa nasubiria atume watu waje kuchukua vitu ambavyo alianza kunifanyia kazi.

Ubarikiwe sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda inabidi iwe bampa to bampa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom