Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Baada ya kufika tamati kwa story hii, naomba kuweka maangalizo yafuatayo:

1. Huwa nasimulia story zangu kwa vipande. Na kila kipande kinabeba kisa kimoja ambacho huwa nimeamua kukiwasilisha kwenu. Kusimulia kwangu kwa vipande, haimaanishi matukio kwenye visa ambavyo nimeshawahi kusimulia au nitakayokuja kusimulia huwa yapo separate. Ni mambo yanayotokea simultaneously.

2. Dhumuni la kusimulia haya matukio ni ili, tujifunze, tuburudike au zitusaidie kupoteza muda. Ndio maana kuna sehemu tunacheka, tunahudhunika au kuwa neutral.

3. Haya matukio ni past life, ndio maana napata courage ya kuyasimulia bila shida. Tokea nimeanza hii story, nimepokea requests nyingi sana za wanaoomba either namba za waganga au niwaunganishe na waganga. Wakuu, sina connection yoyote na waganga kwasasa, na pia nisingependa kurudia hayo maisha. Kuniomba nikutafutie hizo namba au nikuunganisje na timu ya wale wazee, hapo ni kujaribu kunirudisha kwenye maisha ambayo nilishatoka.

Ukija PM njoo na mishe zingine, niko social na siwezi kujibu ovyo au kutoa lugha kali, lakini hiyo isiwe kigezo cha kunipush.

👊👊👊👊👊
 
Mshua: "Bwana mdogo, siku zote nakwambia hakuna aliyezaliwa kwa ajili ya matatizo yako. Mtangulize Mungu siku zote. Hata yule unayeona anatakiwa akusaidie, na yeye kuna sehemu anahitaji kusaidiwa. Usipolielewa ilo, utamchukia kila mtu.

Shukraan Apostle nimeondoka ya kwangu haya hapa. Maana kuna watu wanaamini kuwa wao ni haki yao kusaidiwa na lawama juu pasipo kukumbuka hakuna aliezaliwa kwa ajili ya matatizo yao.
 
Oya Apposto em endelea acha utan story haijaisha
Mkuu, ya kuandika ni mengi sana. Vuta picha tokea story ya kwanza kuweka hapa JF, mpaka hii ya sasa. Zote zingekuwa ndani ya Uzi mmoja ingekuwaje? 😅😅😅

Nilichagua kuwa nasimulia kwa vipande, ili nisiwachoshe wasomaji, lakini pia na Mimi niwe napata time ya kufanya mambo mengine kwa Uhuru. Siunajua story ikianza humu JF, msimuliaji hutakiwi kuwa na excuses.

Worry out, next time nitakuja na kipande kingine cha kushare nanyi. 👊
 
[emoji23][emoji23]ilaa Jf uki anzisha story tayari inakua ni ya wana Jf sio yako tena uta pangiwa hadi mda wa kuleta
 
Shukran sana broh Gily . Stay blessed 👊
 
Daaah...! Hiki kipande kina maneno mazito. Kama naaambiwa ni mimi. Una na mzee mwenye kuijua vema maisha duniani. Una na mzee mwenye busara na hekima sana. Maneno kwenye kipande kipande hiki natamani niyaweke mengi kwenye sehemu fulani,kwenye kipande cha moyo wangu,natamani niyakarili yaishi milele moyoni mwangu. Natamani yawe muongozo pia
 
Nimesoma hii part ya kukimbizana nimecheka kwa nguvu usiku huu hadi nimeamsha kakichanga kangu, apostle tutasaidiana kukesha leo.....niliimiss sana hii story kipindi nipo offline dah finally leo niisome yote
 
Ila nyie wenye baba mnapata sana faida kuliko sisi ambao hata hatukuwahi kuishi na baba zetu...kuna hayo maneno ya huyo mzee wako kiukwel yana maana kubwa sana
Pole kwa kutoishi nae, but I believe upo blessed in your own way 👊
 
Kwamba ndo imeisha kweli?

Aah dogo umetuhujumu aise

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…