Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee


Hizi punch za mzee ni heavy.
 
Amen πŸ™πŸ™
 
hakuna aliyezaliwa kwa ajili ya matatizo yako. Mtangulize Mungu siku zote. Hata yule unayeona anatakiwa akusaidie, na yeye kuna sehemu anahitaji kusaidiwa. Usipolielewa ilo, utamchukia kila mtu"

This is really deep.
Kuna kipindi niliwachukia watu na kuwa-block kisa walikuwa wananiletea miyeyusho ya kutoa support kipindi nipo kipindi cha mpito! baada nikajiona mwenye shida ni mimi hivyo sina haja ya kumchukia mtu kwa kushindwa kunitatulia shida zangu hata kama niliwahi kuwa support. Nilivyoona hizi nondo zimekumbusha mbali sana
 
Ushaanza kuwa mchawi sasa jamani! Ila pole sana
 
Hii Mzee umepiga mistari mizito Sana humu ndani bigup
 
Nimecheka pale unamfutilia mzee Dingi zile kona kama zakitonga, halafu umeambiwa angalia usiwe kibaka mshua wako lakini umekaza shingo [emoji25][emoji25][emoji25]
 
Simulizi nzuri sana. Asante
 
Yaani kuna siku kidogo wanitapeli tu dola twangu, wale watu sio kumbe walikoanzia kazi mie ndiyo nimeamkia huko niliwaacha mdomo wazi nikaondoka zangu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…