Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimecheka ulipokutana na Mama mwenye nyumba wako licha yakuwa umehama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wezi nao wameibiwa ha ha ha nacheka kama mazuri pole kwa mstaafu
 
Wakora sio watu wazuri kabisa, wamekupoteza kijana
 
Yaani ikifika sehemu ya maongezi na mshua wako na enjoy sana ni mzee mmoja hivi matata pia jeshi sijui inaharibu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maisha yanakupa marafiki na marafiki wanakufundisha maisha,Hata ukichukua wababa 100 uwaunganishe huwezi kupata mmoja kama mzee wako, na Baba anaemsaidia mwanae kufanikiwa ,anathamani kubwa kuliko mafanikio yenyewe
Kwangu mimi na nadhani hata kwako pia, Baba huyo huyo ni wewe mzee wako.

All in all tumejifunza mengi, Mungu amtunze mzee wetu na niseme shukran kwa simulizi hii yenye mafunzo yasiyo na idadi, Analyse
 
Yule mama mwenye nyumba(mstaafu) mlipata kuonana au mmepoteana mazima? Mzee dingi/Kidevu/Mwanasheria feki na Kesho yetu nao ulipata kugongana nao?
 
Safi, nimepanda familia yenu inavyoishi hasa wewe na Mshua. Nimejifunza asante mkuu Analyse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…