Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Hii one of your story nmeisoma nikiwa sijatulia toka yule mzee wa kongowe alivyo toa nondo zake.
Hongera kwa story nzuri kwa ramadhan hii tulivu.
Nmepata cha kuchukua tena ni kikubwa sana kwa nyakati hizi.
May Almighty God bless you πŸ™.
 
Hii story yako imeamsha hisia moyoni mwangu...Kwa sasa umri umeshakwenda Ila sio umri mkubwa sana ila kwa jeshini umri wangu hauruhusu na siwezi kurudisha siku nyuma .
Niweke wazi nina baba yangu mkubwa alikuwa general jeshini (jina kapuni)aliwahi kunihimiza sana nikasome kozi ya udiplomasia Ila mimi nikaweka kichwa ngumu nikaenda kusoma udaktari,nikaja kupata kazi NGO's fulani akanishauri nisiende uko niende jeshini nikagoma nikafata mkumbo nikaenda ktk hiyo NGO's
Nakumbuka kauli yake ya mwisho alisema ACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPO VUJA.
Na kweli mvua imenyesha na panapovuja tumepaona
 
Hii one of your story nmeisoma nikiwa sijatulia toka yule mzee wa kongowe alivyo toa nondo zake.
Hongera kwa story nzuri kwa ramadhan hii tulivu.
Nmepata cha kuchukua tena ni kikubwa sana kwa nyakati hizi.
May Almighty God bless you πŸ™.
Shukrani sana mkuu. Nazipokea baraka zako πŸ™πŸ™
 
Worry out mkuu, there's a way of turning things around. Endelea kupambana huko huko ulipo πŸ‘Š
 
Worry out mkuu, there's a way of turning things around. Endelea kupambana huko huko ulipo [emoji109]
Pole sana kwa mikasa kijana, hongera kwa somo ulilotupa elimu haina mwisho sio mpaka iwe ya darasani. Chagua Mungu au Shetani kwa mafanikio.

We have unfunished business. Naamini uko kwa Mungu sasa wale wazee hawakuwa watu wazuri hataaaaa tumejifunza upande wa pili wa dunia jinsi ulivyokuwa hauna huruma.

Be blessed Apostle, Mtendaji
 
"Kuna muda unatakiwa ufurahi pindi uwapendao wakiwa wanaondoka"..ngoja niishi na huu msemo[emoji120].nilitaka niweke shukrani zangu nyingiii ila itoshe kusema asante Analyse [emoji120]
 
Hivi alikuja kama MC kweli au alikuwa anapanga mchongo?
 
Mtu akichukua alaf akaenda kufanyia mambo yetu ya kiswahili, unaweza kupoteana mazima. Labda na ww uwe vizuri.

Kwenye hii Dunia, wanaotamba ni either wapo kwa Mungu, au wapo kijadi. Walio neutral hakuna rangi wanaacha kuona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Yah uko sahihi mkuu ila hpa kwa Mungu ndo mwisho wa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…