Uzi na kuisha ushaisha!Najitahidi nianze kusoma leo...yaani hii account yangu sijui ina mapepo maana mtu aki ni mention hata sipati notification...kumbe ulinimention kitambo hata sikuona mkuu naona uzi umetembea sana
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.
Nipo mazingira tight. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Duh umeisha!mimi ndo kwanza naanza kusoma episode ya tano[emoji28]Uzi na kuisha ushaisha!
Jf notifications zinazingua kinoumaaa sikuhizi mi mwenyewe kuna muda sipati notifications!
Kwa kweli mkuu Asante sana kushare nasi hapa story zako za maisha. Niko kusoma ya lile lishangazi ulilozaa nalo mtoto. Nimecheka hatari mshua alivyokuvaice.Mkuu, ya kuandika ni mengi sana. Vuta picha tokea story ya kwanza kuweka hapa JF, mpaka hii ya sasa. Zote zingekuwa ndani ya Uzi mmoja ingekuwaje? [emoji28][emoji28][emoji28]
Nilichagua kuwa nasimulia kwa vipande, ili nisiwachoshe wasomaji, lakini pia na Mimi niwe napata time ya kufanya mambo mengine kwa Uhuru. Siunajua story ikianza humu JF, msimuliaji hutakiwi kuwa na excuses.
Worry out, next time nitakuja na kipande kingine cha kushare nanyi. [emoji109]
Naomba link mkuuKwa kweli mkuu Asante sana kushare nasi hapa story zako za maisha. Niko kusoma ya lile lishangazi ulilozaa nalo mtoto. Nimecheka hatari mshua alivyokuvaice.
Halafu mishangazi inakupatia mdogoangu...![emoji1787][emoji1787][emoji1787]...!.
Lakini yote kwa yote Asante sana. Japo sijapitia story zako zote hiyo ninaendelea nayo huko ya lishangazi lenye mtoto ni ya pili toka hii.
Najua zipo zingine,kwa hisani yako naomba link ya story yako nyingine hapa Legend
Kwa kweli mkuu Asante sana kushare nasi hapa story zako za maisha. Niko kusoma ya lile lishangazi ulilozaa nalo mtoto. Nimecheka hatari mshua alivyokuvaice.
Halafu mishangazi inakupatia mdogoangu...![emoji1787][emoji1787][emoji1787]...!.
Lakini yote kwa yote Asante sana. Japo sijapitia story zako zote hiyo ninaendelea nayo huko ya lishangazi lenye mtoto ni ya pili toka hii.
Najua zipo zingine,kwa hisani yako naomba link ya story yako nyingine hapa Legend
Naomba link mkuu
Tuko pa1 LA mamaπWabheja sana sis akee ngoja nitulie niisome vizure!!
Wapiii Tayukwa baby zu mtzmweusi Kigi Makasi Unforgettable mmash S V Surovikin
Mlishaisoma hii???
Sipati picha mlivyokuwa mnachorana ... silent sms between u,wee ... imekuaje upo hapa ......nilishakwambia tukikutana hatujuani dogo zingatia hilo tusiharibiane biashara π€£π€£Mzee Dingi na mstaafu sijawahi kabisa kuonana nao tena. Nilishawahi kukutana mara moja na Mzee Kidevu, sikutaka hata story nae, nikamkimbia tu.
Mzee Kesho Yetu nilikutana nae mara mbili, mara ya kwanza hatukuongea chochote, mara ya pili nilikuwa kwenye kikao cha harusi, akaja ili wajumbe wamuone, yeye ni MC
Ulivorudi town uliendelea kuishi kma digidigi?Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...www.jamiiforums.com
Fumanizi la mama mwenye nyumba
1st Portion: Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam. Baada ya kuoneshwa nyumba kadhaa na madalali, ndio nikaangukia kwenye ile nyumba. Wamiliki ni watu wa...www.jamiiforums.com
Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu
1st Portion: Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo yangu, na hata kuachana kwetu, ni yeye ndio aliniambia muda umefika nikatafute mtoto mwenzangu wa...www.jamiiforums.com
Pitieni hizo
Ndioooo [emoji3526]Hajakufikisha? [emoji23] [emoji23]
Waiting for ur call brother [emoji91][emoji91]Next time tutaendelea na safari [emoji28]
Asante sana mkuuNaitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...www.jamiiforums.com
Fumanizi la mama mwenye nyumba
1st Portion: Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam. Baada ya kuoneshwa nyumba kadhaa na madalali, ndio nikaangukia kwenye ile nyumba. Wamiliki ni watu wa...www.jamiiforums.com
Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu
1st Portion: Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo yangu, na hata kuachana kwetu, ni yeye ndio aliniambia muda umefika nikatafute mtoto mwenzangu wa...www.jamiiforums.com
Pitieni hizo
Hizo hapo juu kwangu uliponi-Quit hapoNaomba link mkuu