Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Hakika mkuu, kule nje maisha Ni free Sana, hawawezi kuwadhibiti wale vijana
 
Asante sana Hongera mno,,,kwa Bonge la story,,ila vp ushatusua maisha au bado?
 
Umesahau kisa cha scopion
 
Episode hii imeshiba hekima tupu
 
Hii story iache kama ilivyo iwe marejeo , inafaa sana kuwakumbusha vijana wetu wanaokua, ni speed gavernor for our youth.
 
Dah apostle Mzee KY master mind of all time kawaacha Giza damn

Oya apostle ludi tanga Kwa mchaga
 
Mzee ky huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Eti Huyu Analyse kamaliza story? Maana amekuja sehemu namwona ana bung'aa bung'aa tu hana cha kufanya na akaanza kutongoza kabint flani. Nimemtimua kuwa aje kwenye uzi amalizie story. Kaniambia amemaliza ni kweli? Je mmeridhika? Kama bado semeni nimtimue arudi aje amalizie asilete uvivu. Mi huwa sipendi watu wavivu kabisa.
 
Kaka nimemaliza aisee, wasomaji ni mashahidi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kaka nimemaliza aisee, wasomaji ni mashahidi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kama ni hivyo sawa haina shida na hatuna ugomvi. Haya kavae vizuri uje kule ukaongee na kale kabint. Sema uwe makini.... Maana mimi humu si haba nimepita pita pia mpaka waliponiambukiza kaswende ndo hapo nikawa nakuwa makini nikichomoa haraka naenda kunawa na petrol au spirit
 
Sawa kaka

Petrol na spirit? πŸ˜…πŸ˜…
 
Yes ukichomoa haraka haraka unakojoa kisha unanawa na vitu hivyo hata ngoma hujikupata.....
Soon tutaona umeleta Uzi wa kuomba ushauri. Kuwa mashine imepotea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mbona ilishaisha kitambo mkuu. Mwisho ni portion ya 22
Mkuu hayo mambo ya mjini watu wamepitia sana, yaani watu mnaamka hamjui leo siku itaishaje mnaingia bar mnaagiza ulabu kuzimua ,supu
hamna senti misheni zinaanza hapo hapo.
E bana anatoka huyu akirudi anaweka mzigo mezani,
anatoka huyu akirudi bana nimepata hiki mnashare badae mnaclear bill
usiku ushaingia mnazurura kwenye mabendi mpk kunakucha.
Mnamalizia supu kiria bar mpk sa mbili asubuhi

mnaenda kuangusha.
Badae same program🀣🀣🀣
Yaani jamaa ilikua km familia,
Hapo kila kitu ni wamba wamba tu mradi hela ipatikane
 
Ndio mkuu
sijui nisemeje ila kikubwa asante mkuu ntabaki nikiirudia kuna vitu ndani yake ni vya muhimu sana nahitaji kuirudia tena upya . Haya maisha yetu kuna sehemu ndogo tunakwama sana kwa kujiona wajuaji na kutowapa wazee wetu muda wa kutosha na sisi. ASANTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…