Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Nasoma stori nacheka sana mzee dingi noma, eti matatizo hata hiyo hela haitoshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kijana bado una nguvu hahahahaa
Hapo anakuonesha tafta namna nyingine ya kulipa hilo deni
Ukimdai mtu wa namn hyo unaweza kuwehuka
 
Sasa hivi ndio wamezidi kuwa wajanja. Chichi na La Casa, vile viwanja haviwezi kufa. Nilikuwa naendaga maeneo hayo kuangalia mechi za UEFA, ila muda wote macho yanashangaa totoz tu [emoji28][emoji28][emoji28]
kuna jamaa alikua anapika supu ya mbuzi maeneo yale safi sana,
 
Kisauti amempagawisha mama
Yan mpka hapa nawaza akilini mwako ulikua unachukuliaje haya matukio yalivokua yanatokea na kuleta picha nyingine kwa wazazi
Mshua alikuwa anasema nikipatwa na chochote nikomae huko huko, atanipa msaada nikiwa mbali. Alichokuwa hataki ni mama kuhusishwa πŸ˜…
 
Huko iringa,hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…