Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee


Daa unanikumbusha Usagara Secondary Pale hostel za Mjini karibu na Mkwakwani Stadium, Usagara stakusahau , Advance ina vionjo vyake bana asikwambie Mtu. Maisha Yangu niliya define kuanzia pale [emoji120]
 
Kwamba unaona ukiniita kusoma stories za namna hii nitafaidi sana sio, wewe na madam Antonnia sio marafiki zangu kuanzia huu uzi uletwe hapa🤣🤣
Wa vipaji wa vipajiiiiiii mimi sijawahi kukuita kweriii kweriii kabisa?????? Kuna nyingine ya babu kama mshkaji wangu ni nzureee piaa na ile ya Mfinland cousin ake Bantu Lady leadermoe ukitulia zipitie pia ni nzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…