Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Itakua mshua alishayavagaaga huko nyuma na maza atakua anamjua vizuri huyo mgeni !!
Mzee atakukata miguu kwa kumchanganyia mafaiki walahi!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mchaga nilimkimbiaga, japo tulikuja kuonana nilivyofataga cheti. Hakuwa na hasira tena, ila aling'ang'ania begi langu hadi nikamnunulia kitimoto na bia 3 [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 

Hii nzuri ebu niambie ilikuwaje kuwaje mkuu
 
[mention]Analyse [/mention] story ya manzi mwenye Kishundu chake [emoji39] pale Uhuru Park badae ilikuwaje, Maana usagara pale vitoto shombe shombe vilaini pale ni vya kutoshaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…