Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Mchaga nilimkimbiaga, japo tulikuja kuonana nilivyofataga cheti. Hakuwa na hasira tena, ila aling'ang'ania begi langu hadi nikamnunulia kitimoto na bia 3 [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ila yule mzee alipatia sana alivyokuambia kuwa una nyota ya kuaminika. Kiukweli mie nikiona ID yako tu huwa akili yangu inanituma kuwa wewe ni mtu mwaminifu, unaejielewa na usie na papara.

Pia nami nina nyota hiyo ya kuaminika, huwezi kuamini nishawahi kununua gari kama 3 hivi bila ya kuwa hata na 100 mfukoni.

Hii nzuri ebu niambie ilikuwaje kuwaje mkuu
 
[mention]Analyse [/mention] story ya manzi mwenye Kishundu chake [emoji39] pale Uhuru Park badae ilikuwaje, Maana usagara pale vitoto shombe shombe vilaini pale ni vya kutoshaa
 
Back
Top Bottom