Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Acha ni.mateso mie sifungui zingine zaidi ya hii na ya steve tena hii ya steve ni alfajiri nikishamaliza yangu.
Hizo zingine ntazitafuta huko mbeleni
Me sitaki kuwatesa, mida ya kuftur nawashushia. Nikiwa na muda, mida kama hii Naweka tena. Kazi ibaki kwenu wasomaji πŸ˜…
 
Nimecheka mzee Ana vituko sana eti uliona nin kwenye lile tank [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halaf mama akawa anajua huyu atakuwa mchepuko wa mzee Yaan hawakufikiria analyse ndio mwenye mzigo [emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
🀣🀣 kuconclude mambo kutammaliza mama aposto
 
Simulizi yako ni nzuri mno, haichoshi kuisoma!
Nilianza kuisoma jana usiku ilinichekesha Sana
 
Mshua kama mshua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bi Mkubwa
: "Baba nanii unaenda wapi sasa?

Mshua: "Sasa mtu haongei, nitakaa hapo siku nzima?"

Bi Mkubwa: "Unajua ili ni tatizo kubwa sana, usilifanyie mzaha"

Mshua: "Mzaha anaufanya huyo hapo, katibua watu mjini huko, karudi kutupa sisi shida"

Bi Mkubwa: "Kwahiyo tumuache afe"

Mshua: "Na akiendelea kukaa kimya, atakufa kweli"

mganga alivyodondokea kichwa ningekua ni mimi nisingeweza jizuia kucheka πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…