Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Simple answer mkuu. Theluthi ni something over 3, na robo ni something over 4. Do, chukua namba let's say 12, ukiigawa kwa 3 jibu ni 4 (theluthi ya 12 ni 4) na hiyo hiyo 12 ukiigawa kwa 4 jibu ni 3 (robo ya 12 ni 3)

Hapo nadhan utakuwa umepata picha kuwa theluthi ya kitu ni kubwa kuliko robo ya kitu hicho hicho
 
Mm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
Sio sahihi mkuu. Theluthi ni something over 3
 
Theluthi ni moja ya tatu ya kitu.
Nusu ya 180 ni 90
Theluthi ya 180 ni 60
Robo ya 180 ni 45

Kutokujua kwako siyo makosa yangu Hivyo usiniharibie funga yangu na stress zako.

Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
 
Mm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
Si kweli mjomba, Theluthi kubwa kuliko Robo.

1/3 > 1/4... Ama 0.667 > 0.25 ukiiweka kwenye desimali.

Kama ulimaanisha 1/6 ama 1/8 moja wapo katika hizi inaitwa Sumuni. Sikumbuki vizuri ni ipi kati ya hizo mbili ndio huitwa Sumuni ila hizo ndio ndogo kuliko robo i.e 1/4.

Kwa kifupi tu thaman iliyo ndogo kuliko robo ni kuanzia yenye kigawo kikubwa kuliko 4 ambayo ni 5 na kuendelea tukiwa na maana ya 1/5, 1/6, 1/7 en so sooo ila sio zenye thaman ndogo kuliko 4 kama 3 na 2 napo tukiwa na maana ya 1/3 (theluthi), 1/2 (nusu).
 
Sahihi kabisa
 
Duuh ndo nimejua leo, nilidhani theluth ni ndogo zaid
 
Huyu ndo Analyze ninayemfahamu.Kama unataka kulia nenda jikoni kwa mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…