Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Mkuu hua napenda kukataaa baadhi ya story za Uongo humu ila kwa hii wacha niseme hongera sana upo vizur mnooo na unajua mnoo
mkuu hio avatar yako ulimfanya nini huyo ndugu? ulimwambia asipige kelele nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio sahihi mkuu. Theluthi ni something over 3
Hiimkuu nimekuelewa vema kiusahihi
nilIkalili maduka ya uswahili utasikia nipimie theluthi basi utaona MANGI anapima nusu ya ile robo au hata kam unapesa pungufu ya kitu unachohitaji kwa robo mfn atakupimia theruthi Ambayo ni nusu ya robo ya sehemi ya kitu kizima ambapo si sahihi katika mahesabu kuita THERUTHI

Ni maneno ya KISWAHILI kwenye HISABATI katika DESIMALI na SEHEMU
kuna SUDUSI
Kuna thumuni
Kuna Humusi
Kuna hiyo theluthi
Kuna Aksami na mengineyo mengi
Ni vile sikuweka pale sehemu sahihi wapi inatumika THERUTHI
Shukrani sana
 
Daaaaa...... Rudi tu shule.... Kichwan unajua hesabu za kujumlisha na kutoa tu
Sawa mkuu hapa JF ni zaidi ya shule zote usipoelewa kitu hapa hata ukirudi darasani ni bure nikipata muda nitarudi shule kama ulivyonishauri
Nikajifunze DESIMALI na SEHEMU
 
Back
Top Bottom