Kwahiyo mimi ni marehemu hadi uache kunitejiy?Usijareee apostooo ushasema mi ninani hata nipinge ☺️
Naona wengine washatia maguu humuuu!!
Wapii Tayukwa Gily Half american Nakadori leadermoe kitalembwa baby zu Lovelovie Kalpana Elissante ERoni cocastic Unforgettable mtzmweusi Lastmost Tyrone Kaijage Doctor G Mafian cartel Mbobo Advicer huku kwetu iPhone 6 moneytalk etc mkuje Aposto keshatupia tangu usikuu hukuuu
Usijali mkuu limeisha hiloo !!Kwahiyo mimi ni marehemu hadi uache kunitejiy?
Siku nyingine tuitane Anaa
Usijali mkuu limeisha hiloo;;Kwahiyo mimi ni marehemu hadi uache kunitejiy?
Siku nyingine tuitane Anaa
mkuu hio avatar yako ulimfanya nini huyo ndugu? ulimwambia asipige kelele nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hua napenda kukataaa baadhi ya story za Uongo humu ila kwa hii wacha niseme hongera sana upo vizur mnooo na unajua mnoo
Msamehe upate swawabu
Ndio ila Da'Vinci angenitumia hata buku ten nimemtafutia connection. .
Wachaga na hela kama mapacha tu. Oi Da'Vinci jamaa anataka umpe 10k 😅😅
Mnazingua aisee kwani hao wote mliowatag wamelipia 😅Hii story yako ngoja nitafute mwandishi andike kwa kifaransa nikajiunge na forum za kifaransa niiuze huko unachelew 😀
Yaani vizuri sanaaAm glad mmekumbukana [emoji28]
Hiimkuu nimekuelewa vema kiusahihiSio sahihi mkuu. Theluthi ni something over 3
Sawa mkuu hapa JF ni zaidi ya shule zote usipoelewa kitu hapa hata ukirudi darasani ni bure nikipata muda nitarudi shule kama ulivyonishauriDaaaaa...... Rudi tu shule.... Kichwan unajua hesabu za kujumlisha na kutoa tu
Upo hutaki kupokea miamala bosiOoh nilihisi tu ulivyoniita Boss za masiku jamani
Nitumie namba bosiOoh nilihisi tu ulivyoniita Boss za masiku jamani