Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Ngona nijifanye shehe yahaya …….. mzee baba anajutia baada ya mzee kumwambia kwa sasa sitaweza kukusaidia maana nimeshatoka kwenye mfumo ila ungenitafuta wakati ule ungekula mema ya nchi ni iivo tu kwaiyo wee endelea kupambana kama vipi uje ulishe mifugo yangu
 
Sawa shekhe Yahaya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wewe utapata tabu bure asilimia 80 ya wabongo tunajua theluthi ni ndogo kwa robo kumbe kinyume lkn Mimi kwenye huo sitafahamu nilishatoka
 
Upo sahihi mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…